Imenisikitisha sana kuona CCM,ilivyopora haki ya watanzania. Sasa CHADEMA wafanye nini?
Nina pendekeza mambo yafuatayo
Wadai tume huru ya uchaguzi na katika jambo hili wasiishie kulalamika...
Jamani muda mfupi uliopita dkt Ali Mohammed Shein kaapishwa rasmi kuwa raisi wa awamu ya 7 ya uongozi Zanzibar.
Mimi nilikuwa nikisikiliza matangazo kupitia redio lakini sikuwa na utulivu wa...
Inasemekana Makongo Mahanga amebwagwa na mpiganaji Mpendazoe.
===========
UPDATES:
Kuhesabu kura kunaendelea (saa 6:28 usiku sasa) kama inavyoonekana kwenye picha chini
Jamani nikuwa na ka swali kangu hapo, kutokana na kuwa mbali na home kitambo, kuna baadhi ya mambo sikumbuki vizuri, hivyo nikuwa naomba jibu ama ufafanuzi juu ya hilo.
Nachukua nafasi hii kukupongeza Dr. Slaa kwa kuwa mtu makini. Na watanzania makini wamekukubali. Wamedhihirisha hili kwa kuwapigia kura nyingi wagombea wa chama cha Chadema katika ngazi ya...
Wachunguzi wa uchaguzi nchini Tanzania wamesema hakuna taarifa yoyote kuu ya dosari iliyojitokeza inayoweza kuathiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili.
Uchaguzi Tanzania...
:israel: Ni ukweli usiopingika Lake zone has a role in election, economy ya nchi, all the resources hazikutumika kuendeleza eneo hili, tunayoyaona leo ni reaction ya watu hao, tatizo linakuja...
NAskia hamu ya kumtukana mtu. Najizuia nashindwa! Njia pekee naomba mods wanifunigie angalao hawa jamaa wamalize kutangaza hayo wanayoyaita matokeo ya uchaguzi Tanzania
Kutoka Kilombero Mgombea wa CHADEMA Regia Mtema anaongoza kwa takribani kura 1250 na jitihada kubwa inatafuta kuweza kupata kura zitakazochakachua hizo. Fomu kutoka baadhi ya vituo zimeota mbawa...
Masako na Gondwe kama hamuwezi kutuletea habari za matokeo ya uchaguzi ni bora mkaacha.
Kwa nini mnang'ang'ani kusema Kikwete anaongoza akifuatiwa na Lipumba wakati hadi sasa Lipumba ana 9% na...
Source: Dorice Meghji
TBC1 Reporter
Tundu Lissu kapata kura 13,787 na Mgombea wa CCM -12,161
These are the bestiest results for me kwa ambao hawamjui huyu Jamaa wataiona shughuli yake Dodoma.
Wana Jamvi!
Vingunguti na Kiwalani hali ni tete tangu jana usiku hakufai ni vurugu mtindo mmoja Diwani wa Vingunguti (CCM) hataki kuachia ngazi ameshindwa na CHADEMA imechukua kiti cha Udiwani...
Nchi hii imeoza kwa Rushwa.
Watawala wa nchi hii wanadharau sana wananchi.
Nina uhakika 100% Mahanga amepoteza kiti cha ubunge jimbo la Segerea. Lakini cha ajabu kabisa ametangazwa mshindi. Haya...
Kumekuwa na etieti kuwa wabunge a vyama pinzani wote kujiunga na kuwa kitu kimoja bungeni ili kumchagua spika atakaye tetea maslahi ya watanzania si chama,,
Spika huyo ambaye kwa mujibu wao ni...
Lindi Mjini na Ifakara ni mfano wa kuigwa. Vilevile vyama vya upinzani vimeonyesha wazi kuwa vina sera za kuwajali walemavu. CCM wao wanaona walemavu ni watu wa kupewa ubunge wa mezani, yaani viti...
Of all the 7 constituencies,all have been taken by CCM
PERAMIHO
JENISTER MHAGAMA
CCM
JOSEPH MHAGAMA
CUF
TUNDURU KASKAZINI
RAMA MATALAMATANI
CCM 19,573
MAZEE RAJAB MAZEE
CUF 17,365
LAMBI ABDALLAH...
WASIMAMIZI WATATU WA UCHAGUZI CHUNYA WAMEWEKWA NDANI KWA TUHUMA ZA UCHAKACHUAJI, HABARI KAMILI ZINAMTAJA AFISA ELIMU KILIMO BWANA MBULULE NA AFISA UKAGUZI NA MHUSIKA MWINGINE AMBAYE HAJAFAHAMIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.