They have been running the country since 1961. Making them responsible for uchumi wa nchi na maendelo ya taifa. Hali ya mTanzania wa kawaida hairidhishi sana, bado kuna umasikini. Na pia kuna...
taarifa nilizo nazo ccm na tume wanamtangaza abdul mteketa kuwa ndie mshindi wa jimbo hilo licha kuwa takwimu zilizopo ambazo ccm kwa nguvu ya dola wamezichakachua regia alimshinda mteketa kwa...
Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.
Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.
Matokeo zaidi baadaye.
Nimefurahishwa sana na demokrasia ya Tanzania, inakua kwa kasi nzuri sana... nimepata raha kuona NCCR wanapata viti vya ubunge. CUF pia... yes wananchi ifike mahali chama kikisemamisha mtu ovyo...
Watanzania wenzangu,
Vita vya ufisadi mbado vibichi kabisa, nasema hivyo baada ya matokeo ya Uchaguzi yanaonyesha wale watuhumiwa ambao walihusishwa na tuhuma za Richmoond, Rada, Kagoda, EPA nk...
Wasimamizi watatu wa uchaguzi chunya wamewekwa ndani kwa tuhuma za uchakachuaji, habari kamili zinamtaja afisa elimu kilimo bwana mbulule na afisa ukaguzi na mhusika mwingine ambaye hajafahamika...
:A S cry:Ina maana watu wengine mnataka tuendelee kuumia kwa miaka mingine mitano (5).:sad: Tukumbuke kwa jinsi hali ilivyo bungeni sasa CHADEMA tuna wabunge wachahe ina maana tukitaka kupitisha...
Mpaka sasa chadema ina viti 23 ukilinganisha na wabunge wa5 wa bunge lililopita.Hii ni baada ya kuchakachua huko kigoma mjini,songea mjini,mbeya vijijini,mbozi magharibi,kilombero,segerea na...
I hear a voice in my soul about presidential elections 2010. NEC announces results in favour of JK in terms of magnitude of votes. NEC will finally announce JK as a winner with highest percentage...
Jamani mnasikia habari za mama (AFISA MTENDAJI KATA YA TABATA) alivyokamatwa na karatasi (form za kujaza matokeo). Hii habari hiko live ITV hebu mwenye data arushe zaidi. Mama yuko Polisi na...
Urais: Dr Slaa 16,120 na JK 28,575
Ubunge: Emmanuel Nchimbi CCM -27,495 na Edson Mbogoro CHADEMA 17,495.
CCM wametumia system kupora ushindi wa CHADEMA Songea mjini.
Inasikitisha na inamaanisha kuwa CHADEMA watafute watu wenye mismamo katika chaguzi zijazo. Taarifa niliyoipata toka Tarakea Rombo hivi punde ni kuwa aliyekuwa ametangazwa diwani wa Tarakea (eneo...
Katika hali isiyo ya kawaida, wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), jana walilazimika kuweka itikadi zao za vyama pembeni na kuungana baada ya kupewa...
My Plan B is here:
Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo;
* New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi)
* Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.