Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM pale Chimwaga, Dodoma, wakati wa kupiga kura za kumteua mgombea wa Urais kupitia chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2005, baadhi ya wajumbe waliokuwapo kwenye Ukumbi wa...
ITV imeripoti ya kuwa mgombea ubunge wa NCCR MAgeuzi ambaye alipitwa kaw kura takribani elfu moja na yule wa ccm aliingia mitini baada ya majumlisho ya pili ya kura na hivyo kugoma kusaini...
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.
By Charles Onyango-Obbo
Send Cancel
Bottom of Form
Posted Monday, November 1 2010 at 12:33
The votes in Tanzanias October 31 election were counted well before the vote, according to critics...
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.
Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?
1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika...
Ningependa kufahamishwa njia inayotumika kumpata Kiongozi wa upinzani Bungeni.
(Ni kwa upinzani wenye viti vingi au vyama vya upinzani vyenye viti bungeni vinaweza ungana na kumchagua kiongozi wao?)
Jamani maandalizi ya wizi wa kura yanaanzia mbali. Labda ndiyo sababu CCM huwa wanajitapa kuwa mbinu zao ni za kisayansi. Gazeti la THE CITIZEN la Ijumaa, tarehe 29/10/2010 lilichapisha takwimu...
"No.6 Joseph Mbilinyi a.k.a Mr.2 Sugu asieogopa kuongea ukweli popote hata kama kuna hatari ya moto na mabomu, Tunahitaji Spirit zaidi za aina hii. Hatimaye muziki wa Tanzania utapata wa...
KUTOKANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MONDULI FISADI LOWASA AMEPATA KURA 32,362 NA MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA AMEPATA KURA BWANA MOLLEL WA CHADEMA AMEPATA KURA...
Mimi ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu.
Nimefurahishwa sana na jinsi Mhe Slaa alivyobadilisha mizania ya kisiasa Tanzania.
Hata hivyo siridhiki na baadhi ya mambo.
1. Ushauri uliotolewa wa...
Heshima kwenu wanajamvi,
Jana usiku nilikuwa natazama BBC,Skynews na Aljazeera vyote kwa pamoja vimeipa umuhimu wa juu kabisa ushindi wa Mheshimiwa Salum Bar'wani mbunge mteule wa Lindi mjini...
Kura za udiwani ubunge ni rahisi sana kuzilinda kuliko za urais.
Diwani akisha tangazwa mshindi basi husahau ulinzi wa kura za ubunge. Naye mbunge akisha tangazwa mbunge husahau ulinzi wa kura...
Hii ni poll ya upesi upesi kujua mwelekeo wa fikra za watu.
Je Utakubali matokeo ya Urais pale NEC itakapoamua kuyatangaza?
a) Hapana - Sitakubali matokeo yoyote
b) Hapana - Kama CCM itatangazwa...
TBC1 imeripoti sasa hivi ya kuwa aliyekuwa Mbunge wa Lindi Mjini Mheshimiwa Mohamed Abdul Aziz na ambaye bado ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa alinusurika kipigo cha raia wenye hasira kali baada ya...
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa...
Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu.
Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi.
Na sasa JK anatambulika kama nani...
Katika vurugu zilizo tapakaa mji wa mbeya sasa ivi. Shule xa wasichana Loleza imechomwa moto. Mji mzima umechafuka vikosi vyote vya usalama vya mwagwa mitaan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.