Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au...
Miaka ya themanini huko iringa palikuwa na mbunge anaitwa Tuntameke Sanga. Mheshimiwa Tuntameke Sanga alipeleka mara kadhaa hoja mbungeni akiomba jimbo lake WANANCHI waruhusiwe kulima bangi...
Ziara ya Rais Samia Tanga, Makubwa yamefanyika
Tanga inajivunia kujengwa kwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa iliyopo katika eneo la Mabalanga wilayani Kilindi
Ni shule maalam ya bweni ya...
Sijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.Pia soma Pre GE2025 - Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho...
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!
Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya...
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja...
Lema ndio afisa habari chadema? Jana Lema kaongea nini ? Au kawatabisha tu media? Maana waandishi hata swala 1 hawakuuliza. Wapi umeona mkutano unakosa swala la waandishi?
https://www.youtube.com/watch?v=wOKzLLdnpDQ
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ametangaza ujio wa uzinduzi wa kampeni ya kidigitali ya Chama hicho utakaofanyika February 27,2025...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, ikiwa ni...
Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na...
Walianza akina Christian Ronaldo kukimbilia Uarabuni na watakaofuatia ni Bara la Africa especially Ukanda wa Mashariki
Uzunguni kote Trump amekaba Msitu
Ahsanteni sana 🐼
Kimsingi hapa duniani huwezi fanya uovu halafu usilipie gharama za huo uovu wakati ukiwa hai. Moto anaopitia Gambo kwa sasa ni gharama za uovu alioufanya wakati akiwa RC. Kwa msiojua ni kuwa kuna...
Mbunge wa Bumbuli Mh January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea uRais
Makamba amesema uteuzi huu utasaidia kuanza mipango ya Kampeni mapema
Soma...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo...
Wakuu,
Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway:
Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema:
"Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna...
Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa...