Kweli wanastahili pongezi kwa kuwasimamia vizuri wadai haki wa chadema walipokuwa wamekusanyika mbele ya jengo kuu la manispaa ya arusha kusubiri matokeo rasmi ya ubunge kutangazwa baada ya mama...
Ni suala linalozidi kuwa wazi kuwa NEC inatangaza matokeo kule ambako CCM imeongoza. Kule wapinzani wanapoongoza hasa hasa CHADEMA hawatangazi! Na kuzuwia kusoma matokeo kwa majimbo kama Ubungo na...
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani...
IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!
Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha nyuma Mama Monica Mbega (CCM)...
Kwanza kabisa niwape pole ndugu zetu wote walioathirika na ubinafsi na ubabe wa chama tawala kupitia wakala wake NEC na jeshi. Nasema hivyo kwani imedhihirika kuwa tume ya taifa ya uchaguzi...
zipo taarifa zinzoonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo la kibaha mjini alishinda kwa kupata kura nyingi, lakini matokeo hayao yakabatilishwa kutokana na agizo la jk kuwa hataki hata jimbo moja la...
Bernard Membe, aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi na anayegombea tena ubunge katika jimbo hilo sasa kapata mpinzani kutoka TLP. Awali Msimamizi wa uchaguzi alikubali pingamizi la...
Wakuu,
Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka.
Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko...
BABATI wameanza kuhesabu kura upya baada ya CCM kuendesha uchakachuaji...NCCR wamegoma kwani ni ngome yao! Source ITV
Habari zaidi... Mawakala wa NCCR Mageuzi wanadai mgombea wao alishinda kwani...
Majimbo mengi ambayo CCM imeishinda Chadema tofauti ya kura ni ndogo lakini tofauti ya uwakilishi bungeni itakuwa kubwa kwa sababu viti maalumu vinagawiwa kwa kuzingatia idadi ya wabunge Bungeni...
Tanzania nzima wananchi wanapigwa na polisi, mabomu, virungu, risasi etc.
Haya yote ili kulazimisha wewe na familia yako muendelee kuitawala na kuifilisi nchi yetu.
Swali dogo kwako, Utaua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.