Wakuu,
Kumekuchaa kumekuchaaa, kumbe watu watoto Tanzania nzima wanalipiwa ada na Rais Samia na hamsemi:BearLaugh::BearLaugh:
====
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
Wanabodi
Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa...
Baada ya kugawa pikipiki nchi nzima, sasa hivi wanagawa madaftari ya mama huko mashuleni. Kwanini haya madaftari yaje mwaka huu 2025? Tunawafundisha nini watoto wetu?
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000...
Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa...
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea...
Wakati wa msiba wa Shujaa Magufuli baadhi ya Wapagani walishangazwa kitendo cha heshima za Mwisho Kwa jeneza kupitishwa barabara kuu
Kumbe hata Waarabu utaratibu wao ndio huo huo
Al Jazeera...
Kwenye mahafali ya Chuo kimoja hapo Kenya Mbunge amesema mahakama kuu inafunga AI 400 hivyo watuhumiwa hawatahitajika tena kwenda na Wanasheria
Binafsi sijaielewa kabisa hii
Rais wa TLS mh BAK...
"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile...
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa.
Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga...
Wanamuziki wa bongo fleva wanaounda kundi la muziki la Samia Kings ambao ni Chege, Madee na Ay, wakitoa burudani katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, ambako Rais...
Wanamuziki wa bongo fleva wanaounda kundi la muziki la Samia Kings ambao ni Chege, Madee na Ay, wakitoa burudani katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, ambako Rais...
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki...
Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa...
Wakuu,
Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea.
Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais...
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu...
Wakuu,
Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi...
Moja ya kazi za Wanasiasa ni kuchekesha Ndio sababu Mwalimu Nyerere na Mzee Makamba walipendelea kutoa vichekesho
Kwanini Chadema imekosa Tuzo?
Au wameonewa?
Wafanyakazi wa serikali ya Marekani walipokea barua pepe Jumamosi alasiri ikiwauliza waorodheshe mafanikio yao kutoka ya wiki iliyopita au wajiuzulu, ikiwa ni katika juhudi za serikali ya Trump...