Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili...
Taarifa za jikoni zilizonifikia Masha akabidhi mizigo ya ukurugenzi wa Emma Advocates kwa binti Karume!! Ajiandaa kutimkia USA alikokulia!!! Hahaa aibu yake hiiiiii!
jamani embu someni barua zilizosambazwa na halmashauri kufuatia kikao cha kikwete na rostam ziz na makada wengine wa ccm kuhusiana na kuchakachuwa matokeo.
Mbona sijaona mahala CUF imeshinda ubunge bara kama wenzao akina CHADEMA hata nccr mageuzi.Au nimepitiwa tu.
Nilisikia Mbeya,Mtwara halafu Tanga na bUKOBA,lakini sijaona !.
Kipindi hiki cha uchaguzi, nimeona mabadiliko katika utendaji wa jeshi la polisi kitu ambacho kimenifanya niandike hii post kulipongeza. Kutokana na vurugu ambazo zimekwishatokea, ni wazi raia...
:israel::israel:Habari za Alasiri wanaJF.
Nimefurahishwa na ninaendelea kufurahishwa na matokeo ya upinzani kwa ujumla wake. Sikuzote naamini katika uaminifu na Uwajibikaji, kwa jinsi matokeo...
Heshima mbele
Mkuu ulianzisha topic ya uchakachuaji hauwezekani tz,nikapata shock mpaka ikafikia hatua ya kukuuliza lini ulikua mara yako ya mwisho kupiga kura tz au kusimamia uchaguzi.
Ivi...
Hawa vijana wamepata umaarufu kupitia vijana wenzao tukaacha muziki wa kimagharibi na kununua kazi zao za sanaa na kuhudhuria matamasha yao leo hii wanatuona sisi hatunazo na MIRAJI na BABA yake...
Kama kweli uongozi wa nchi unatakiwa kutokana na matakwa na mapendekezo ya wananchi , basi kuna haja gani ya kuwa na lundo la WABUNGE WA KUTEULIWA? isitoshe baadhi ya hao miongoni mwao wanakuja...
Partial election results Monday indicated a close race between Tanzania's ruling party and two challenging parties as the president of the relatively peaceful east African nation sought a second...
Kwa wote mnaofahamu ufisadi mkubwa unaofanywa na January Makamba na Ruge Mutahaba, cha kwanza mtakachokifikiria ni Issue ya No More Malaria. Kusema kweli hili swala sijui ni kwa nini vyombo vya...
Nimeskiza mahojiano ya kati ya watu wa radio one na Bwana Samuel Sitta.
Analalama utaratibu wa NEC wa kutaka "matokeo yajumuishwe kwenye majengo imara ya serikali". Anasema ndo chanzo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.