Kama mtaikumbuka vizuri historia katika chaguzi mbalimbali zilizoihusisha CCM, ndani na nje ya chama chao hawa jamaa hawajawahi kufanya uchaguzi wowote ulioisha salama bila tuhuma zozote...
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.
Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?
1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Lissu na Mnyika wayalipue...
Wakuu muda si mrefu Kinana ametangaza kuwa Wapinzani watapata viti vya ubunge 51 tu Bara 29 na Zanzibar 22 wakati bado kura zinahesabiwa au ndo njia sawa na ile wanaotumia kutangaza matokeo ya...
Nimependezwa na Majina ya wapiganaji walioingia BUNGENI kupitia chama cha chadema.....tunatangaza kusimamia utawala wa haki ,sheria na uhuru wa wazawa. Kikosi kinajitosheleza sana kuleta...
wana ccm wahaha kumuomba aliyekuwa mgombea kijana kabisa na machachari wa chadema Mh. Habib Mchange asitishe wazo lake la kupinga matokeo. yadaiwa mawasiliano yafanywa kutoka uongozi wa juu wa...
Hivi kweli wadau katika vuguvugu hili la mageuzi kuna mwananchi atapigia kura Mbunge wa CHADEMA halafu kura ya Urais apigie CCM? ndiyo inawezekana lakini siyo kwa idadi kubwa kama ambayo NEC...
Ukiacha kufanya vibaya kwa CCM ukilinganisha na chaguzi zilizopita, kuna picha mpya ya upigaji kura inajitokeza. Kuna kila dalili kwamba huko tuendako watu watakuwa wanachagua mtu kutokana na...
Ndugu wadau mwenye taarifa ya matokeo jimbo la Ukonga tunaomba rusheni hapa. Mbona kimya sana kule? Chadema ilikuwa na nguvu sana kule wakati wa kampeni. Hebu kieleweke wadau!! Mnyika mambo sawa...
Huenda wafuatao wakawa wakuu wapya wa baadhi ya wilaya baada ya CCM kumaliza kuchakachua
Nakaaya Sumari
Efraim Kibonde
Flora Mbasha
Dr. Batilda Buriani
Philp Sanka Marmo
Sekioni David
Khadija...
Wananchi wa Tanzania naomba niseme hivi,Yote yamekuwa Tunamshukuru mungu nachotaka kuwashukuru watanzania wenzangu nikuhusu usikivu,Busara,Hekima,Unyenyekevu, yote nikuonyesha watanzania...
Ukisikia jina hilo la heahima hapa nchini Tanzania ...Muasisi wa CCM ...Lakini descendants wake wanajua hii sio CCM ile aliyoiasisi baba yao......Intelligent people thinks in this way ..hongera...
unajua bw, ka swali la kizushi vile, ila ni kwamba vyama vingine vya upinzaini vimepoa sana, kama wanasapot ccccccm vile, kwa mfano jana, Mr. ssseeef kule zenji was so happy shein alvoshinda and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.