Ofisi ya ccm iliyopo Nera (airport road) jiji la mwanza ikiungua moto katika harakati za watu kudai haki zao tarehe 01.11.2010. Katika nyumba hii ndipo katibu wa CCM alichomwa kisu na meya wa jiji...
Baada ya aliyekuwa mbunge wa Mby vijijini kwa tiketi ya CCM ndg. Mwanjali kukataa kusaini matokeo ya uchaguzi kwa zaidi ya masaa 24 sasa, wananchi waliamua kwenda nyumbani kwake eneo la Iwambi...
Kwa ushindi huu, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume, Wanamuziki...
Katika hali isiyo ya kawaida hapa UNGUJA wanachama wa CCM na CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushindi kwa pamoja. Wanachama wa CUF wanathibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa...
Idadi ya kura za CCM katika uchaguzi huu ina represent jumla ya mafisadi na mambumbumbu wa Taifa hili.
Endapo Chadema tutashinda kiti cha urais tutumie takwimu hizi kuwashugulikia mafisadi na...
Maneno ya Silaa kuhusu kila mpiga kura alinde kura yake yamesaidia sana kuliko kuwamini mawakala wetu,Phsycologically was a good idea,thats why we get a good number of wabunge despite of their...
Tunafuatilia zaidi matokeo ya ubunge na urais lakini kwenye viti vya udiwani vijana wamefanya kweli tofauti na ilivyokuwa chaguzi za nyuma ambapo wagombea walikuwa wazee waliostaafu. Mpaka vijana...
Jamani nani ana habari za matokeo ya majimbo haya mwali? naommeni naona Kinana amesha-:israel:conclude ni majimbo 29 tu yameenda upinzani bara:israel::peace:
Habari nilizopata usiku ni kwamba kuna nyumba takribani tano zimechomwa maeneo ya Nguruka baada ya matokeo ya awalu kuonyesha NCCR-Mageuzi inaongoza kwenye kiti cha ubunge. Eneo hilo ambalo limo...
hali ya uwanja wa utetezi bungen inaleta raha usipime, jaribu kuvuta picha, huku mnyika, huku silinde, huku g, lema, huku wennje,hukku mh. mrII, huku shibuda,kona hii mbowe, kona ile salakana...
Katika halimisiyo ya kawaida CCM & CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushidi kwa pamoja, hii inaokekana ni katika kuthibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa wazanzibari wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.