Jamani fuatilieni inasemekana katika majimbo 47 yaliyotangazwa inaonekana Kikwete wa kwanza, Lipumba wa pili na Slaa wa tatu!! I doubt I really doubt, I was one among the wakala's na Slaa na...
Wana JF nisaidie kwa hili; Inasemekana idadi ya viti maalum hutolewa na NEC kwa chama cha siasi, kulingana na uwiano wa jumla ya kura za urais na wabunge walizopigiwa wagombea wa chama husika...
yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa
Kwanza napenda Kuwashukuru watu wote waliokuja na Wazo la Kuanzisha Chama cha CHADEMA. Nasema hivyo kwa sababu katika Historia ya siasa za Tanzania,Ni Chadema pekee iliyoleta Mapinduzi Makubwa ya...
Wapendwa, nimekuwa napata kichefuchefu naposikiliza watangazaji wanavyojikomba kwa ccm na wagombea wake na wanafikia hata kuwanyanyapaa wagombea wa vyama pinzani kiwazi wazi. Yaani ni aibu, mpaka...
inadaiwa masanduku kadhaa ya kura yaliingizwa katika ofisi ya msimamizi wa jimbo na form fake za kutangazia matokeo. hali iliyosababisha wasimamizi wanne wa vituo fulan fulani kuitwa kwa...
Kwa mara ya kwanza serikali ya chama tawala imetikiswa na vyama vya upinza, hasa hasa Dr Slaa.
Katika hali ya kutatanisha kumekuwepo na ucheleweshwaji wa hali ya juu katika majimbo ambayo CCM...
Agustine Lyatonga Mrema amefanya "booking" kwa Rais yeyote ajaye ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ambayo anaamini aliimudu sana. Anasema hajazeeka kwani hata akina Papa Benedict wa 16 bado yuko kazini...
Katika yote yakiyotokea kiteto n aibu. Msimamizi wa uchaguzi hakuutangazia umma matokeo badala yake alitoka ofisini akawapatia wagombea matokeo na kumpatia mshindi cheti bila kuwatangazia wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.