Nani anabeza mguvu ya umma?niwapongeze mmepiga kura kwa fujo,na mmedai matokeo yenu na walipochelewesha ili wachakachue mkawaonyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo,next time hawatarudia.....vijana...
Ukweli lazima ni uweke bayana ya kuwa matokeo ya jimbo la Babati Mjini yalyompa JK kura zaidi ya 5, 000 dhidi ya Dr. Slaa, Jimbo la Siha yaliyompa JK takribani asilimia themanini na Dr. Slaa...
Mbinu inayotumiwa na CCM katika kuchakachua matokeo ya urais, haikabiliwi vilivyo na wagombea ubunge wa CHADEMA. Mathalani, kwa uwezo wangu wa kuona mambo, sehemu nyingi ambapo CHADEMA wameshinda...
Kupitia hotiba yake ya mdahalo pale anatoglo, mheshimiwa mkwere aliongelea juu ya uchakachuaji kupitia mtandao. alisema, nanukuu ' nivigumu kuchakachua matokeo, labda wakosee ktk kuingiza matokeo'...
Mimi binafsi nampongeza sana Dr. Slaa na CHADEMA kwa uamuzi wao wa kuwania uraisi, maana kwa kufanya hivyo, wameweza kutangaza chama na kuwanadi wabunge na madiwani wetu kwa mafanikio makubwa...
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza...
Kulingana na mwenendo wa matokeo ya kura za uachaguzi wa majimboni na ya uraisi,kuna kila namna ya sababu kulaumu juu ya ucheleweshwaji wa makusudi wa matokeo ya majumusiho majimboni.ukweli ni...
Huwa inaanza kama utani. Leo wanadhulumiwa kura zao tunasikia kuwa wanarusha chupa za maji. Lakini naamini kuwa hasira inavyoongezeka, kesho hizo chupa zitarushwa zikiwa zimejaa petroli, then...
Kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa CHADEMA kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya...
kutokana na hujuma zinazoonekana kufanywa na tume ya uchaguzi kwenye matokeo ya urais, mhe john john mnyika mbunge mteule wa jimbo la ubungo na naibu katibu mkuu wa chadema tunakuomba uhamishie...
Mkuu wa MKoa wa Dar-Es-Salaam wa enzi zile aitwaye Chipungahelo au "Mama Chips" aliwahi kusema kwa kutamba.........."where Dar goes the nation goes......"
Kwa majigambo hayo hayo ni dhahiri...
Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.