Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
Hawa jamaa walikuwa watano tu, vipi vywa bunge viliwaka moto!
mwelekeo wa sasa waonyesha upo uwezekano wakafika 100 (including viti maalum)
Lakini hebu pata picha hawa jamaa wakiwa 50 tu, pale...
Wadau CCM inaelekea ukingoni.Ushauri wangu mali zote ilizokua ikizimiliki si kihalali zitaifishwe na zirudi mikononi mwa serikali.Viwanja vya mip,majengo mbalimbali n.k.Hivi vitu vilijengwa na...
nakumbuka sheikh yahaya alisema mgombea na rais angekufa, lakini akageuza usemi akasema shibuda angekwisha kisiasa sasa leo unaona imekuwaje, naona huyu mzee MAJINI yake yamezeeka PIA :A S-baby:
Hivi kwa hii trend ya matokeo hasa upande wa uraisi, ccm na shingo yao (NEC) wanataka kututhibitishia nini: kwamba sisi watz ni mazuzu tunaochukua almasi feki na kuacha halisi au kwamba wao ni...
Habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa Mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi...
Taarifa kutoka Mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la Mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la Mbalizi, pia katika jengo...
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi...
Source channel ten sas hivi
kwa taarifa zilizokamilika ni kuwa jimbo la biharamulo magharibi(chato)limechukuliwa na magufuli wa ccm,jimbo la biharamulo magharibi limechukuliwa na chadema,big up...
wana Jf nina mlaani kwa yeye kufanya jimbo hili lirudi mkononi mwa ccm.
matokeo ya ubunge ni kama yafuatayo
CCM 20,470
CHADEMA 8,056
CUF 5,833
Kwa mantiki hiyo ccm imeshinda kwa 58% na wana...
Baada ya kucheleweshwa kwa muda mrefu kutolewa kwa matokeo ya ubunge jimbo la Songea mjini,hatimaye Dk.Nchimbi atangazwa.
Sina uhakika kama kura hazikuchakachuliwa kama sehemu nyingine.
Hodi humu mjengoni!
Ukiangalia kwa haraka haraka na kujaribu kulinganisha, ni kama vile upinzani hasa (Chadema) umeweza kufanya vizuri katika maeneo mengi ya mijini na chama tawala kupata kura...
Kama kazi imekwisha hapo Ubungo Huyo sasa ni ndege wetu na Picha ya maendeleo imenijia machoni kwangu,
HOJA BINAFSI NI KWAMBA
Ujumbe wetu ni hakuna kulala. sasa majeshi yote twende kule Segerea na...
TuJIULIZA Je:
Tuipongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa...
Wananchi wenye Hasira Kali wameamua Kumruhusu Mheshimiwa Mramba kuhudhuria Mahakamani mara kwa mara bila kesi yake kuhairishwa tena kwa sababu za kisiasa.
Wakitoa uamuzi huo Wananchi wameamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.