Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Jipatie kifaa maalum cha mazoez,kuanzia tumbo,mikono na mpaka miguu kwa tsh 40,000 tu
Unachotakiwa ni kupiga simu namba hizi
0758728258
0718327776 kwa dar es salaam utaletewa mpaka ulipo...
Nauza simu tajwa hapo juu
Tecno C8 Tsh 180000(Laki moja na Themanini)
Ipo katika hali nzuri tyu.
Imetumika mwezi mmoja
Kwa mawasiliano
0675636863 au 0762504906
Kwa Arusha tu..
Bei Tshs 150,000 punguzo unaongea..
Ni mpya haijatumika hata mara moja, ipo kwenye kasha lake na kila kitu.
Mawasiliano / Maelewano
0766474499
Ni mpya haijatumika na wala haijatolewa kwenye kasha lake, bei ni tshs 150,000 na mazungumzo yanakaribishwa..
features / support...
A4 Injet...
3-D object..
Photo..
Newsprint..
Magazine...
AINA YA KINGAMUZI STAR TIMES ( DISHI)
MUDA WA KUTUMIKA MWEZI 1
SABABU YA KUUZA NATAKA KUAMA TOKA STARTIMES KWENDA DSTV
BEI HALISI NI 90,000 PAMOJA NA KIFURUSHI
MIMI NAUZA 70,000 PAMOJA NA...
Huawei Y560-u02
CPU 4 core 1.2GHZ RAM 1GB
Internal 8GB
Resolution 480X854
OS Android 4.4.2
Imepasuka kioo ila bado inafanya kazi
Bei :Tsh 100,000
Location: Arusha
===========
Update
Simu imeshauzwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.