Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Salutue Bosses! Ninauza Harddisk ambayo ina 160GB na RAM-1GB. Zote ni za desktop, used kidogo na ni nzima. Bei ya Hard disk ni 30,000/= na RAM ni 20,000/= respectively. Mwenye kuhitaji ani pm...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Jifunze kuongea lugha ya kichina in two weeks,ni kitabu na CD kwa bei ya 10,000tzs tu.utajifunza kuongea ndani ya mda mfupi na mwalimu atakaekuelekeza kutumia CD.Call us on 0757464131,0759003146...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Tatizo hili la kuwa na maumbile madogo limekuwa likiwakosesha raha na kuwanyima usingizi wengi, kwani huhofia hata kujiingiza kwenye mahusiano kwa kuogopa fedheha, hali inayopelekea wengi...
6 Reactions
44 Replies
12K Views
Imeuzwa
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nauza laptop imara aina ya dell Ram 4gb Hard disc 500 GB Processor core i5 Betri inakaa masaa manne na chaji laptop bado iko katika condition nzuri Nauza kwa laki nne na nusu ( 450000)
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Biashara. Kitanda Safi cha chuma, Ukubwa ni 5"X 6" Hakina mchubuko wala mkwaruzo Hakina kutu wala tatizo la aina yoyote ile. Bei ni 400,000 (mazungumzo yanakaribishwa) Mawasiliano: 0716403314...
0 Reactions
37 Replies
18K Views
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawilitumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inauzwa binocular...(darumini.) Iko safi..bei laki mbili. Iko na powerful lens kias kikubwa sana.. Made in Germany Picha natumipia hapo chini .. Kwa ana ehitaji aje inbox ...iko dar es salaam
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hodi wana JF, 3D Press Printer/Heat Press inauzwa kwa bei poa sana, ni nzuri kwa wajasiriamali wa Stationery, Printers au yeyote anayetaka kuendesha biashara ya kuprint Promotional items k.v...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Paper width 80mm Print speed 200mm/s Ipo na cable zake zote Installation software ipo 250,000 tuu maelewano yapo
1 Reactions
0 Replies
403 Views
KOKOTO BORA ZA UJENZI TOKA LUGOBA.. Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hi guys...ninauza ethnic bags rangi tofauti..ni nzur sana kwa wadada na vijana.. Ubora wake ni mzuri pia. Karibuni wote.. BEI NI 20,000/= TU Mzigo ni mchache. Kwa order tuma massage whatsapp...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Karibu nauza viatu original Bei poa Kama upo dar nakuletea Mikoani natuma uaminifu 100% No zangu 0659557947 Kwa sample Saudi njooo whatsaap
0 Reactions
5 Replies
5K Views
1 DAY OLD CHICKS/ VIFARANGA VYA SIKU MOJA. Kwa wafugaji serious... Viko 400 tu. Tupo Dodoma mjini ni vifaranga Chotara kwa ufugaji wa kuku wa mayai ya Kienyeji. Tuwasiliane 0755212988 /0754595780
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Habari wakuu ! Kama title inavyojieleza hapo juu, Simu ni A5 (2015), ina miezi 2 tu tangu inunuliwe, ipo in a good condition, camera ni kali MP 13, Price 400k. Nicheki hapa 0653006425
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Sabuni Zimetengenezwa kwa mbosa zinauzwa. Zimetengenezwa kwa ubora. Matumizi ya wakubwa na watoto Huondoa miwasho. Vishilingi mwilini. Fangasi na uti ya nje. Bei kuanzia 1300/=
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Simu mupyaaaa kabisa ina week tu ni Tecno w5 kwa bei ya sawa na bureeeee nipe 200k tu nakuachia au Kama kuna mtu ana Tecno w3 basi tubadilishane aniongezee mkwanja nimepata ka-emegerncy kidogo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
(1) HP DESKJET 1050 (NEW) (2) TV CARD INTEX IT - TV 150FM Bei nafuu. Mawasiliano:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hp probook 6360b used with good condition , #processor 2.3ghz #Ram 4 #battery 2-3 hours *negotiation is allowed* #price 350000 Tsh contact no. 0719792928 location dar es salaam...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom