Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari wakuu Naomba msaada kwa yoyote anayeweza kuwa anauza hicho kifaa,au anafahamu mahali wanapouza anisaidie Ahsanten sana
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanao hitaji mashine za kukamulia ng'ombe wanicheki. Zimebaki 2 tu. Ni mashine nzuri sana kutoka UTURUKI. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Niko DSM nauza bei sawa na bure shilingi 130000 tu karib PM kwa anayehitaji Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bei Million 13 Imelipiwa vibali vyote Ni nzima haina tatizo lolote. Transmission Manual Haijawahi gongwa Haijafunguliwa engine Maelezo zaidi piga Ipo Dsm Mikocheni 0743 727328 0655 691 299
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji TILL zinauzwa: Voda = 150,000/= Tigo = 150,000/= Airtel =130,000/= Halotel =130,000/= Karibuni sana kwa biashara. Ni zipo moja moja tu nilikuwa nafanyia biashara mimi sasa nmeamua...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
1. Kwa mwenye uhitaji wa Laini za uwakala zipo Tigo (250k) and Voda(200k) 2. Kwa anayeuza Universal Modem ya Huawei 3G or 4G,,plz njoo tufanye business 3. Samsung J2 with 4G network...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Kichwa cha habari chahusika nauza dstv decorder set kwa Tsh. 70,000/- but inapungua kwa maelewano kwa anayehitaji anicheki kwa namba 0625544781 Napatikana Dar es Salaam
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina tangawizi mbichi tani 70 zipo tayari kwake kuuzwa. Mwenye soko la uhakika tuwasiliane kwa # 0655707780.Ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
967 Views
mileage 00 bei yake ni milioni 40,000,000 tsh
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Imetumika wiki moja tu rangi gold, nakupa na rist zake kasoro chaja na earphone tu 0683666702 napatikana dsm serious buyer nicheki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
744 Views
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, kuna rafiki yangu anauza line ya tigo pesa. Bei ni Tsh.150,000 Namba yake ya simu ni 0712767898 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UFUTA UFUTA UFUTA Ufuta tani moja shilingi 1,700,000/= Zimebaki tani 300, Dar es Salaam. Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Nauza, Mawasiliano 0654 011 011
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nauza sungura wa kisasa,newzealand white na dutch mmoja 30000 nipo mbezi makabe Call...0753534514 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Simu yangu mimi mwenyewe Tecno camon C9. Simu haina Tatizo lolote na haijawah Fika Kwa fundi. Specifications za simu Front camera (selfie) 13mp Camera ya nyuma 13mp Ram 2GB internal...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kwa anayehitaji anipe offer yake
1 Reactions
0 Replies
436 Views
Clean and good condition Mpya ila unboxed Lens 18-55 mm Come with 2 card 8g and 16gb 1 Battery and canon charger Call or text 0674982656 Bei 850,000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mashine za popcorn/Bisi zinauzwa zipo Dar es salaam mikoani tunatuma zimetumika na zinafanya kazi vizuri bei ni Tshs. 180,000/= mawasiliano 0672464970/0655748974
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Nauza Ufuta kilo moja shilingi 1,950/= Zipo tani 500, Dar es Salaam. Karibuni sana. 0659890000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom