Kiwanja KINA sqm 1298 kipo Mbutu kigamboni, kina hatimiliki ya wizara ya ardhi isiyokuwa na deni,kutoka kiwanja kilipo kufika Baharini ni dakika 4 tu kwa kutembea.
Bei milioni 40...
Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake
Kina ukubwa sqm 850
Kipo mita 30 kutoka barabara kuu
*Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga
Umeme ushafika hauhitaji nguzo...
Kwa wale wenye kutaka kuishi humo au kuweka Sheli ya mafuta au biashara kubwa yyte hii sehemu inafaa. Kuna nyumba mbili zimeungana na PANAUZWA kwa pamoja .Eneo lipo karibu kbsa na main road...
Wakuu Kuna boma linauzwa Mbweni Millioni 40 . Mtu ataendeleza tu hilo boma
Mita 15.3 kwa mita 23
N.B chenye thamani ni kiwanja sio boma .Call 0759600684
Boma linauzwa, limefikia hatua ya kufunga lanter, lina vyumba 3 vya kulala ambapo viwili ni self, kimoja ni cha kawaida, sitting, dining, jiko pamoja na public toilet.
Limejengwa ndani ya eneo...
Kiwanja Kinauzwa!
Mahali: Kibaha kwa Mathiasi.
Bei: Milioni 60 (kunamaelewano).
Maelezo: Kipo karibu kabisa na barabara ya kuu ya morogoro - upande wa stendi ya daladala kuelekea Ubungo...
Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI
(40 urefu kwa 22upana)
Sifa ya kiwanja
1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki
2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo...
👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji
👉 Mashamba tambalale
Kwa ufupi.
Eneo la ekari 3.5 beach area
Lipo mkoa wa pwani Kisiju
Karibia na bandari ya Kisiju
Kituo ni Sotele
Km 87 kutoka City Center DSM
Bei ni...
IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali!
Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani.
Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya...
habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square.
Bei ni 15,000,000 maongezi yapo...
Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm.
Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale.
Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25)
Kina hati ya wizara.
Contact : 0742141467
SHAMBA LINAUZWA
[emoji3534] Ekari ~5
Shamba Lipo Lulembela ~bugalagala
Mita 500 kutoka bara bara kuu
[emoji778]Linafaa kwa kilimo cha bustan (nyanya,tikiti n.k)
[emoji3534] price 4,000,000/=...
Kiwanja kiunauzwa kipo madale kina uku wa square meter 520 Tsh 9,000,000 kina barua ya manunuzi kutoka serikali ya mtaa huduma zote za kijamii zipo Tuwasilane 0686995586 karibu sana.
Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro.
Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini...
Property Investors Company inauza Viwanja Kigamboni eneo la Chekeni Mwasonga vyenye sifa:
[emoji835] Viwanja vipo karibu na kiwanda cha cement.
[emoji835]Vipo km3 toka Barabara ya Kimbiji...
IKO UMBALI GANI KUTOKA MOROGORO RD? Plot na Nyumba ya kisasa ndani yake iko 3kms kutoka Morogoro Rd
.
PAKOJE? Plot iko 50 metres kutoka barabarani na imezungushiwa fence ya kisasa inayowaka taa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.