Pata kiwanja Fukayosi Bagamoyo kwa Cash Tsh 1500 kwa Sqm 1 na mkopo Tsh 2000 kwa Sqm
Muda wa mkopo ni miezi sita
Malipo ya awali 20%
Mfano ukichukua kiwanja chenye sqm 500 ukalipa kwa Cash bei...
Habari Mpendwa!!,
Steam Generation Recovery & Real Estate Ltd Tunapenda kukujulisha kuwa Kwa Sasa tunamradi Mpya wa Viwanja vya makazi Mradi wetu upo Kibaha - Vikawe
𝗩𝗜𝗞𝗔𝗪𝗘 𝗖𝗘𝗡𝗧𝗘𝗥 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗠𝗥𝗔𝗗𝗜 𝗪𝗘𝗧𝗨...
Habari wana jamii
Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, maeneo ya Kitunda (Magole)
Ukubwa ni Sqm 400 (meter 20 kwa 20)
Umbali kutoka barabara kuu ya gari.
Ndani ya kiwanja kuna pagala la vyumba...
Habari za wakati huu;
Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma...
Hiki ni kiwanja kilichopimwa kwasasa kipo kwenye mchakato wa kupata hati wilayani Kibaha. Kiwanja kipo Vikawe-maeneo ya Miwale...kina SQM 2538. Kipo eneo zuri sana hakipo bondeni, kimepakana na...
Habari za jioni.
Karibuni kununua kiwanja chenye nyumba ndani, kipo fenced.
Eneo ni Buguruni Kisiwani.
Bei ni millioni 70.
Kwa atakayependelea awasiliane kwa namba 0784307401. Huyu ni mmiliki...
Habari Wakuu,kwa wale ambao wanafikiria kujenga au kuanzisha miradi mbalimbali kwenye Jiji la Dodoma wakati ni sasa.
Unaweza kujipatia Viwanja kwa Bei nzuri kabisa kwaajili ya Matumizi ima ya...
KIBAHA KWA MFIPA
Kiwanja kimepimwa kina Hati
Ukubwa ni Sqm 450
Kiwanja kipo Kibaha kwa Mfipa
Kinauzwa million 2.5
Boda elfu 2 hadi kwenye kiwanja
Mwenyewe anauguza ana shida sana, mwenye kuwahi...
Stuka ujanja ni ardhi new new site 2023[📍forodhani city.
Viwanja vipya Kisemvule Forodhani Cit,y wahi sasa mapema ujipatie kiwanja kwenye round about ya Forodhani City kwa 1,500,000 tu. Karibuni...
🏖️ Kaole Beach Plots Project!
Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba...
Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo )
3 kilometers kutoka Mailoja.
Eneo 18*25
Vyumba vitatu vya kulala
1 master bedroom
Sebule na dinning room
Public toilet
Jiko na stoo yake
Fremu ya duka...
Salaam Wakuu
Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.
Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na...
1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road)
2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi...
Viwanja vizuri vimepimwa vina mawe, vipo viwanja vingi vilivyobaki vinaanzia ukubwa wa 500 sqm ( 25m × 20m ).
Bei ni Tshs 40,000 kwa 1sqm.
Mfano Kama unahitaji kiwanja cha ukubwa wa 500sqm, 500 ×...
KIBAHA KWA MFIPA(Upande wa chuo)
Heka 7, zimepimwa na Hati ipo
Umbali ni km 2.5 toka moro road
Bei ni million 126,000,000/=
Kupelekwa site ni 20k
0784376888/0744757738
Sent from my Infinix X657B...
Kama unataka kununua kiwanja Kibaha, nina viwanja Kibaha kwa Mfipa, upande wa chuo, ndiponinapoishi.
Viwanja viaanzia ukubwa wa 20×20(sqm400)
Viwanja ambavyo ni mauziano ya serikali ya mtaa...
Kipo mvuti kiboga
Kina futi 59 kwa 34
Kina boma la chumba na seble. Umeme, maji, shule, hospital vipo karibu sana.
Mwenye kupata na apate piga simu chap 0683160108, bei 2ml nina shida na hela...
Habarini wandugu, nauza kiwanja changu kilichopo kibaha picha ya ndege kwa sofu km2 kutoka barabarani chenye ukubwa wa sqm 602, kiwanja kina hati, umeme na maji vipo hapo hapo vimefika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.