Jamani nina eneo langu liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. naliuza. Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.
Nimeezeka vyumba 2 na...
A plot for sale Kibaha Kwa Mathias.
Ukubwa: Mita 20 kwa 20.
Umbali: Km 5
Bara bara ya lami.
Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000.
Umeme na maji ya dawasco yapo.
Huduma za kijamii zote zipo.
Kipo...
Habari zenu, kichwa cha habari hapo juu, kinajieleza. Kiwanja ni cha kwangu, hakina udalali.
Kiwanja kina sifa zifuatazo
1. Hatua 25 kwa 20
2. Umeme na maji vimepita hapo hapo mpakani, utavuta...
Habari za wakati huu;
Tuwasiliane kwa wale ambao wanahitaji kununua mashamba na viwanja katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Maeneo tunayouza ni yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa.Maeneo yako...
Shamba (pori) Heka 2 kwa bei ya Milioni 2 Na Nusu linauzwa halijawahi kufyekwa, lipo chanika msanga zalala maji chumvi Lina rutba zote na Lina Hati miliki me mwenyewe muhusika na sio dalali kwa...
WAHI VIWANJA JIRANI NA BARABARA KUU KILWA ROAD.
Viwanja vipo kilometre chache kutokea mbagala rangi Tatu..kituo kinaitwa Dundani sheli ya Muro.. na viwanja viko hapohapo.
Viwanja vina huduma...
Habari JF?
Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa.
Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200...
Napenda kuwatangazia kuwa kiwanja kinauzwa, Taarifa za kiwanja [emoji116]
[emoji117] Mahala - Kata ya Mjimwema, wilaya ya Kigamboni, Dar es salaam.
[emoji117] Ukubwa ni mita 60 ×mita 50...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 500 (mia tano) linauzwa @ekari ni laki moja na ishirini 120000.shamba ni zuri naharina longolongo na linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ardhi yenye lutuba...
Plot for sale at Ungindoni Kigamboni, located 200 meter from main road.
ideal for commercial and residential investment.
Asking price ; 380M Tshs.
for more info contact;
+255 712 347 749
+255 746...
Habari za muda huu wana jukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,kwamba kuna Shamba la viazi vitamu ukubwa wa ekari 21 linauzwa.
Shamba linapatikana mkoa wa Geita wilaya ya geita vijijini...
Kiwanja kipo king’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi, sio mbali na kwa dr ndodi, kiwanja, umeme na maji vipo hapo hapo, bajaji kwenda mbezi ni buku, pikipiki zipo, magari ya kukatiza route kutoka...
Habari wana jukwaa!
TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA
Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi
Nauza kiwanja changu kipo...
Kiwanja kizuri sana
Kina huduma zote
Maji
Umeme
Barabara
Kipo nyuma ya shule ya msingi twende pamoja
Jirani na gereza la mahabusu kibaha (sofu)
Kina ukubwa wa mt 20 kwa 25
Barabara ipo mpaka...
Kiwanja kiwanja Bei nzuri Bei ya offer, kiwanja ni chakwangu mwenyewe, hakuna udalali, umeme na maji vipo eneo la kiwanja.
Maendeleo na nyumba zimejegwa sana, kiwanja ni hatua 25 kwa 20 Bei ni...
16,740 square meters Area Located at Iringa - Kibwabwa , close to Ruaha River , with very good climate for sale.
Area suitable for big investiment e.g school, apartments, farming, green -house ...
Kiwanja nikizur Sana
Kinauzwa kipo kimara suka
Ukubwa ni mita 20 kwa 22
Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo
Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700...
Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.