Kiwanja kinapatikana eneo la mbopo-madale ndani ya wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es Salaam.
Kiwanja hakijapimwa,ila kina hati ya mauziano kutoka serikali za mitaa.
Kiwanja kiko eneo zuri...
Habari Wana jukwaa
Hongereni na poleni kwa changamoto ngumu za ujenzi wa nchi.
Maelezo
Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, Jimbo la Ukonga. Kata ya Kitunda
Kutoka Banana unapanda gari za Magole...
Ekali 7 zina parachichi za mwaka mmoja na nusu
Lina hati miliki
Maji yapo karibu
Kijiji cha Mfriga-Lupembe(Njombe vijijini)
Nusu kilomita kutoka barabara kubwa ya Vumbi
Karibu kwa taarifa...
Karibuni GOBA
Nnaviwanja 3 vinakaribiana GOBA Center Ni umbali wa dk 5 kutoka barabara kuu Hadi viwanja vilipo kwa pikipiki
1 hiki ni ML 7 kinamsingi wa nyumba vya vyumba 2 ukubwa wa eneo Ni sqm...
Kipo Kibaha kwa Mathias.
Ukubwa wa squire meter 600
Milioni 3
Umbali km 5 toka Morogoro road
Barabara nzuri imewekwa lami, bado kidogo ikamilike
Umeme na maji vyote vimefika kwenye kiwanja
0672...
Bestates Properties
Contact: 0786157788
Kinauzwa • TSh bilioni 5.5 (mazungumzo yapo)
Kina hati • matumizi ya biashara
Pia tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
VIWANJA VIPYA JIJI LA DODOMA.
Viwanja vyote vimepimwa na vina documents zote,pia biashara zote zinafanyika kupitia Wanasheria.
NALA MIZANI.
NALA MIZANI.
Ukubwa ni Sqm 1000.
Bei ni Milioni 7...
MILIKI ARDHI KWA BEI NAFUU KABISA
[emoji95]Njoo ujipatie kiwanja kwa bei nafuu kabisa pia lipia kwa awamu mpaka umalize deni.
[emoji95]Eneo: Vikindu-Vianzi, na Kisemvule (Wilaya ya Mkuranga)...
Ndugu wa Wana Jamii forams, habarini za za Leo?
Kama nilivyo taja hapo juu , eneo liko Makambako. Km 12 Toka stand kuu y a Makambako.
km 4toka barabara ya kuelekea Songea.
Ukubwa acre 4
Bei...
Ni Property Investors Company (PIC) inauza Viwanja vyenye sifa zifuatazo:
[emoji736] Viwanja vipo Vigwaza Mkoa wa Pwani karibu na bandari kavu ya Kwala.
[emoji736]Vipo umbali wa km6 toka Vigwaza...
Kiwanja kinapatikana KITUNDA (mwisho)
Umbali wa km 3.5 kutoka pugu road
Umbali kutoka kitunda road (lami) meter 200
Unaweza kufanya project tofauti kulingana na Eneo na uhitaji wako.
Mfano. (...
Plot for sale in Zanzibar - Makunduchi:
Area : Makunduchi, opposite VETA college.
Document : Title deed
Distance: 1.5 kilometer from the beach (Clove Island Zanzibar Villas)
Location...
Kiwanja kipo Msangani, Karibia na zahanati ya Kibaha kwa Mathias Msangani.
Ukubwa mita 20 kwa 24
Milioni mbili na nusu
Km 6 toka Morogoro road
Umeme na maji vipo
+255 762 689 034
Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5
Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650
Kimewekewa beacon kabisa, very...
Shamba linauzwa Lipo kijiji cha Nambendo Songea, kilomita 100 kutoka Songea mjini, lina ukubwa wa ekari elfu mbili (2000) lina hati.
Shamba linafaa kwa mazao mchanganyiko kama utavyoona kwenye...
Habari ndugu,
Nawatangazia wadau wote kua ninauza kiwanja changu kilipochopo maeneo ya Kigamboni Kimbiji puna
Ni meter 150 toka barabara kuu facilities kama maji na umeme tayari vimefika
Kiwanja...
Mashamba yanapatikana kata ya mafizi, kijiji cha ving'andi na zipo zaidi ya hekari 300 zilizopimwa, Mashamba haya mazuri kwa kilimo na bei yake kwa kila hekari ni laki nne, 400,000/=
Maji...
Kwamahitaji yamashamba kwa ajili ya uwekezaji nitafute zaidi kwa namba 0763165384. Mashamba Yana miundombinu yote.napatkana mkoa wa njombe kata ya lupembe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.