Karibuni mjipatie Shamba la eka saba na nusu kwa bei nafuu ya shilingi milioni 20. Shamba liko umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka barabara ya lami ya Dar Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji...
Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM
SIZE: 25m*25m
dakika 5 kutoka Bagamoyo Road
Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana
Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania)
Mawasiliano 0713096076
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba kwa bei nafuu ya shilingi milioni 25. Shamba liko umbalinwa kilomita mbili na nusu kutoka barabara ya lami ya Dqr Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku...
Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya Morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi...
Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa...
Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5...
Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe.
Hati ipo
Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia...
KIWANJA KINA UKUBWA WA 20*20
KIKO MBEZI KWA BEDUI,
KARIBIA NA MPAKANI A' NJIA YA KUELEKEA GOBA
BEI NI MIL 6
KIWANJA KINA NYALAKA ZOTE
KWA MAWASILIANO
0714309012
Asalaam Aleykum!
Wakuu kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kwamba kwasasa Chalinze imeshakuwa wilaya, ujenzi wa makao makuu ya wilaya umeshaanza pamoja na stendi kubwa ya magari ya abiria ambayo...
Eneo linauzwa.
Ni robo hekari.
Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo...
Lipo Chanika Nyeburu.
Bei ni million 30.
Halina udalali ...
0620593714
Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400.
Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu.
Umbali km 1 na nusu toka morogoro road...
Karibu Katika Mradi Mpya wa Viwanja Maeneo Ya Mvuti Km4 Kutoka Chanika Kwenda Mbagala Mradi Upo Mt 350 Kutoka Barabara Kubwa Ya LAMI
Bei Ni Tsh, 7000/= Kwa Mita 1 Ya Mraba
Na Vimepimwa Kuanzia...
Shamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali...
Hakuna uwekezaji kama kuzika pesa ardhini, kuna SHAMBA kubwa la ekari 20 lina mikirosho tupu na mikubwa linauzwa kwa mill 45, maongezi yapo karibu Sana kwenye green minerals (karosho).
Sent from...
Kiwanja kinauzwa mbagala rangi Tatu umbali wa mita 200 tokea Kilwa road. Kina sqm 221.Kina Leseni ya makazi(Hati za Manispaa).Eneo Kuzunguka limejengwa.
Nicheki chap kwa 0677089280.
🌲🌴 MBAGALA CHAMAZI MBANDE, NEW PROJECT NEW SITE
🌲🌴 RESIDENTIAL PROPERTY
✅ NO DOWN PAYMENT.
✅ NO RESIDENTIAL FEE.
✅ SITE VISITING NI KILA SIKU
👌 GOOD FOR RETIREMENT OR BAKASYUNAN.
✅ ACCESSIBLE...
Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu
Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi.
Huduma za kijamii zipo
Linafaa kwa Kilimo na Makazi.
Bei ni 1,500,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.