Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.
Document zote za...
Habari, Nauza kiwanja Cheney hati miliki kipo kibaha picha ya ndege km 2 kutoka barabara kuu na kiwanja kipo barabarani kabisa . Ukubwa 1026 sqm, bei 12,000/= per sqm na huduma za jamii zote zipo...
Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai .
Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na...
Habari wakuu,
Mkoa wa Tanga, wilaya ya mkinga karibu kabisa na barabara kuu ya kwenda Mombasa Kenya kupitia horohoro boder kuna beach plots zinauzwa kwa bei rahisi tu. Viwanja hivi vinafaa kwa...
[emoji2769]Ngazi Ya Kupanda Kiuchumi Ipo Kigamboni
[emoji2769]Hakikaa Hata Wewe Unaweza 143000 TU Kila Mwezi.
[emoji2769]Kamwe Usiruhusu Mazingira Yanayokuzunguka Kuzuia Ukuwaji Wako
[emoji2769]...
Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza
Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna
Size: hatua 18 kwa 16 za miguu
Mawasiliano: 0713096076
Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa...
Eneo linauzwa lenye ukubwa wa heka moja linauzwa lipo kitanga wilaya ya kisarawe lina mabanda ya kufugia mifugo mbalimbali kama [emoji230] ng'ombe, [emoji238] mbuzi, kuku [emoji215] bata na kuna...
[emoji95]JE WAJUA?
Nguvu ya laki 8 tu,unamiliki kiwanja chenye ukubwa wa futi 50*40 viwanja vipo tambarare kabisa na vina barabara za mitaa.
[emoji3534]Tupo Vikindu na Vianzi
[emoji95](Ukubwa...
Shamba la korosho lenye ukubwa wa hekari kumi na lenye mikorosho 300 ambapo mikorosho hiyo ni ya miaka mitatu na ipo tayari kwa kuanza kuvunwa, lipo ndani ya jiji la Dodoma, lipo mita 500 kutoka...
Shamba liko kijiji cha Kwala (Serikali inapojenga bandari ya nchi kavu na reli ya standard gauge(SGR) bei ni laki 8 kwa Kila Heka 1, zipo Heka 12 kijiji kimepimwa hivyo ukihitaji hati ya kimila...
Nawasalimia wanajamvi.
Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi...
Enwo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibu sana ...
Eneo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibuni sana ...
DODOMA LANDLORD COMPANY(DLC)
TUNAKULETEA HIZI HAPA APARTMENT NZURI ZINAUZWA.
[emoji1485]mahali:-MICHESE DODOMA MJINI. MKABALA NA RELI YA SGR.
[emoji1485]NYUMBA ZA KWANZA BAADA YA RESERVED ROAD...
Heloo wakuu habari
Ninauza kiwanja kina ukubwa wa sqm 540(20X 27) kipo bunju B mtaa wa kihenzile .ni umbali wa dk 8 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.,kipo eneo zuri jirani kabisa na club ya simba...
Asalaam alaikum
Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo
. Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna
. Kutoka barabara kuu ni meter 50
. Kiwanja kimepimwa na tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.