Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Hot Plot for sale beside na chuo cha Afya [emoji91][emoji537] Kiwanja kipo Kigamboni mwembe mdogo , sqm 600 , 2km kutoka barabarani ya Mjimwema -- ferry , kiwanja kina kisima cha maji safi...
1 Reactions
1 Replies
421 Views
Habari wakuu, Nauza Plot yangu Geza ulole Block 24, Kiwanja kimepimwa Kina Hati ya wizara (Title) Ukubwa wake ni square metre 800 *Mawasiliano: 0758 065 340 KARIBUNI SANA.
3 Reactions
4 Replies
625 Views
Unapoweka Lengo au unapolielekea Lengo Ulilojiwekea na Ukaona Kuna Vikwazo Vingi Katika Kulifikia au Kulielekea Lengo Hilo Kamwe Usibadili Lengo Lako. Jambo Muhimu Ni Kubadili Njia , Mkakati au...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
Karibu jariq investment. MRADI MPYA WA VIWANJA NAFUU JANUARY HII. BAGAMOYO-MSATA eneo linaloitwa Masugulu 🩸Umbali ni km3 toka masugulu center ambako ndiko inapita barabara kuu ya Bagamoyo -msata...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Habarini wadau, nauza kiwanja kipo Kata ya MAPINGA kijiji cha KIHARAKA mtaa wa SOWETO karibu na kambi ya jeshi MBWENI, huduma za kijamii zote zipo na kimeshapimwa tayar, Ukubwa 25x25..dk10 kutoka...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wana JF habari ya majukumu? Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kitalu ED Matumizi ya kiwanja: MAKAZI NA BIASHARA Ukubwa: SQM 2,400 Bei: 25,000,000 Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa HOUSING ESTATE Kiwanja kipo mita 400 kutokea barabara kubwa ya kuelekea Dar es...
0 Reactions
3 Replies
596 Views
Kiwanja kinauzwa Eneo: Kongowe Misugusugu-kibaha size: 30*20 600square metre Maji umeme vipo Nusu kilomita kutoka lami ya Morogoro Road Hati ya maandikishano ipo Bei milioni 4. 0744033555...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa. Ukubwa ni Squaremeter 1200 Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya...
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Wakuu habari zenu, Ninauza kiwanja - Size: Urefu FT 60 upana FT 105 - Kipo Kisemvule mtaa wa Machimbo Kidubwa, maarufu kama viwanja vya Ustadhi. - Nyaraka nlionayo ni "Offer", kimepimwa na...
0 Reactions
6 Replies
690 Views
Kiwanja (20x40) Tsh 6.5M kimekaa Tambarale kabisa, kimezungukwa na makazi ya watu pamoja na huduma zote kijamii Kiwanja hiki Kipo kiluvya makulunge karibu na zahanati ya makulunge upande wa...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Ni Property Investors Company (PIC) wanauza viwanja eneo la Pangani Mtakuja vyenye sifa: [emoji835] Viwanja vipo karibu na Barabara inayounganisha Kibaha na Vikawe. [emoji835]Vipo umbali wa km 1.5...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo. Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs...
0 Reactions
8 Replies
641 Views
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 700 linauzwa.liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe,kwani miundombinu yote iko sawa,na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba linauzwa ni beach plot liko Tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko). Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Property Investors Company inauza Viwanja Misugusugu Kibaha vyenye sifa: [emoji835]Ni Viwanja vizuri kwa makazi na biashara. [emoji835]Viwanja vimeshapimwa tayari,hivyo ni rahis kwako kupata...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi -...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom