Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu. Ninauza ECU YA BMW N46 engine Bosch part number DME 7620350-02. Hii ECU inatumika kwa BMW models zote zenye N46 engine kama E90, X1, 1 series, etc. Bei ni 1.3 million...
2 Reactions
3 Replies
654 Views
Linda gari yako kwa kuiweka kwenye kivuli safi gharama ni rahisi pia car parking shades hubadili muonekano wa nyumba yako tupigie tuje kukupatia huduma call/WhatsApp 0687897026/0767583628
1 Reactions
0 Replies
376 Views
TUNAKUFUNGA NA KUANDAA WIRING YA MIFUMO YA ULINZI. Shuleni,Nyumbani,Godown,Hotelini nk. Na wewe boss wetu hujachelewa karibu tukuhudumie kwa mahitaji ya Installation,systems upgration,maintenance...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Niaje wakuu! Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo. NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha.
5 Reactions
9 Replies
464 Views
Natumaini mmeamshwa salama. Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari..! Nauza Laptop, nimeitumia tu kama miezi 4, iko vizuri kama mpya tu. Bei ni 950,000. 0686279540 Dar es salaam. SOLD.
1 Reactions
8 Replies
497 Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!! 1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina...
0 Reactions
5 Replies
570 Views
Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Habari, Nina Muhogo Mbegu Ya Mkombozi Tani 70, Zipo Tayari Kwa Matumizi Ya Kusaga Unga Wa Muhogo. Location Biharamulo Kagera. Tuwasiliane Kama Unauhitaji Au Una mteja. Kiasi Cha Chini Kuchukua Ni...
1 Reactions
0 Replies
443 Views
Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora...
1 Reactions
2 Replies
457 Views
Canon IR2525i. Specification *Copy/Printer/Scanner/Fax Black & White Printing A3/A4 paper printing Double sided Automatic * Speed 25 pages printing per 1 minute Canon IR2530i...
2 Reactions
4 Replies
414 Views
Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
4 Reactions
8 Replies
622 Views
Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 37,000,000/= Gari inafanya kazi Bima na latra vipo hai Call,sms,whatsap 0759399805
0 Reactions
5 Replies
538 Views
Oppo A83 Ram 6Gb Storage 128Gb — USED —— Bei 140,000 Warranty ni miezi 12[emoji1376] [emoji338]0628139218 [emoji625]Dar es salaam
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina...
1 Reactions
35 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…