Kama uzi unavyosema, nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani; sofa, friji, kitanda, magodoro, TV, meza ya TV.
Vitu vyote vipo Kigamboni Kibugumo.
Sofa 200,000
Tv solarmax 32"...
Habari wadau.
Deki ipo Dar, faida nyingine ya deki hii ni kwamba inayo amplifaya ndani yake , kwa hiyo unaweza kutumia kama amplifaya na radio kwa wakati mmoja.
Bei : 130,000
Mawasiliano ...
Ni muhimu kuwa na machine hii ya kupima pressure kwako na kwa familia yako..unaweza ukawachukulia hata wazazi wako itawasaidia sana.
Sifa zake: inakupa vipimo vya uhakika, Rahisi kutumia na ivo...
Hp ni 130a Laser Jet Mpya 450,000 Full Catrage
Epson ni L3110 Full na wino wake, imetumika kidogo nyumbani 350,000
Hiti Passport Printer 100,000
Bei zote TZS 700,000
Zipo Mwanza nauza maana...
Habari wadau, nimefunga biashara yangu ya Stationery hivyo nauza wino zilizopo.
CE0505A - 05A Black kwa HP 2035 na HP 2055 Bei ni 180,000 kila moja zipo 3.
C-EXV 33 Black kwa Canon Image Runner...
Boxer bm150
Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka
Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji
bei Tsh 680,000
0658643636 Mbezi Magufuli stand
NEW NEW NEW
HAINO TEKO COMBO
GERMANY [emoji629]
[emoji383] 120,000:TSH
[emoji390]0713579248
ORIGINAL FROM GERMANY
HIGHER QUALITY
UNAPATA SAA
UNAPATA MIWANI
WATER RESIST[emoji98]
*UNACONECT...
Habari za wakati huu,leo nimewaletea bei ya seti upande wa CCTV camera kuanzia 4 mpaka 16.
NB: Kila seti imebeba vifaa vyote vinavyohitajika kukamilisha mfumo wa CCTV ikiwemo na Monitor ndani yake...
Tuna Active Digital smart board kwa ajili ya kufundishia mashuleni wanahabari , mikutano au Semina mbalimbali
WhatsApp 0652565597
Piga simu 0687391033
Ukubwa 75" inch
Android version 8.8
Price...
Kama una swali lolote kuhusu laptop au smartphone ambalo limekuwa likusibu au kukupa changamoto hasa unaponunua au unapotumia baadhii ya hiv vifaa vya kieletroniki. Kuna watu wengi hupitia hizi...
Heri ya mwaka mpya 2024.
Pikipiki yenye namba za usajili MC 903 CCU aina ya TVS inauzwa.
Mahali: Dsm
Bei: 1,200,000
Hali: Nzuri sana
Mawasiliano: 0746929412
Haina udalali.
Pikipiki ina nyaraka...
Kwa wanaotaka viwanja dodoma, follow Widechance real estate:
Tuna viwanja
1.Nala IFM(km 14 from city centre) Milion 2.5 - 5 kwa kiwanja kutegemeana na ukubwa wa sqm 500-1000
2.Nala karibu na...
Habari,
Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer.
MF135-46Horsepower
MF158-63 Horsepower
Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.