Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

EI 130k,location kibaha
1 Reactions
4 Replies
334 Views
Kama Kichwa Cha habari kinavyoeleza Nauza Radio yangu ya JBL flip 5 ipo katoka Hali nzuri Inabase na sound nzuri Inakaaa na charge up 12 hours Radio ni very clean (Kwa wanaojua JBL wanajua...
2 Reactions
2 Replies
971 Views
nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni ina vyumba 3 Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet main room[master room 1]na choo chake Dining room jiko sebule pia banda lake la nje lina...
0 Reactions
9 Replies
886 Views
Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Mashine ya kukata viazi vya chips Ina meno saizi nne tofauti. Nakupa na meza yake. Bei 270000Tshs Nipigie 0625697394
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi...
2 Reactions
6 Replies
618 Views
Nissan juke 2012 Engine capacity, 1500 Millage 74000km Haina kipengele chochote Bei, 19m Piga 0698235368 ipo Dar NIT
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za leo. Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana. Zimetumika kwa miezi michache. Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu natafuta hii simu old model
0 Reactions
5 Replies
510 Views
Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
TAARIFA: AC IMESHAUZWA Habari zenu Nauza ac inafaa kwa chumba size sq 14 hv maana imefungwa bado haijafunguliwa inafanya kazi. Ni kuja kuwasha kuhakiki na kama una fundi wk mnaifungua na kuondoka...
3 Reactions
2 Replies
363 Views
Kama unahitaji kutengenezewa website ya Biashara yako au website mbalimbali kama za mziki, movie, kubet, social media na vingine vyote. Wasiliana nami 0692782826 malipo ni baada ya kazi
1 Reactions
4 Replies
505 Views
Wakuu mwenye kioo cha Hisense Inch 40 anisaidie,npate bei pia.0677089280.Au anayejua vinakopatikana plz.
0 Reactions
1 Replies
781 Views
T-SHIRT QUALITY [emoji91][emoji91] SIZE:M,L,XL,XXL. MATERIAL:COTTON [emoji39] JUMLA: *10000 [emoji625] UBUNGO RIVERSIDE#[emoji390][emoji338]. Tukuhudumie boss wetu[emoji4]0786647143 (whatsapp)
0 Reactions
3 Replies
512 Views
✓Nyumba vyumba 4 ,3 Master bed ✓Sakafu ya tiles, ✓Gypsum board ✓Maji moto na baridi ✓AC,connections ✓Ceiling fan, ✓Kitchen kabinates, ✓Perving bloc, ✓Maji ya Dawasa ✓Umeme Tanesco, ✓Fensi ya...
1 Reactions
4 Replies
697 Views
Wakuu naombna mnisaidie, nahitaji chupa za kuwekea wine za glass. Hata kwa kununua.
4 Reactions
18 Replies
884 Views
Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles. Km 4 kutoka Morogoro road. Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu Ukubwa eka 8 Pote milioni 12 Panafaa kwa kilimo na ufugaji
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wadau, kwenye ukurasa huu kila siku nitakuwa nikikuletea magari yaliyoko sokoni (yanayouzwa) yaliyotumika Tanzania na nje. Pia kama una gari yako unauza usisite kuwasiliana nasi kwa namba...
3 Reactions
845 Replies
56K Views
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
3 Reactions
2 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…