YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE.
EPISODE 1
Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi...
Karibu vikindu pwani wilaya ya mkuranga mtaa wa malela kisayan ujipatie kiwanja Kwa Bei nafuu ukubwa wa eneo ni futi 50 Kwa 40 Bei laki sita na huduma zote za kijamii zinapatikana Kwa muhitaji...
NYUMBA inapatikana MOROGORO mjini kwa wakazi wa Morogoro ambao mpo karibu naomba mtanisaidia kufika eneo nyumba ilipo.
Sijafanikiwa kupata PICHA kwasababu nipo Mkoa Tofauti (Dar) na taarifa hizi...
Wakuu hisense TV nchi 50 inauzwa
Smart TV
Ultra HD
Inapatikana kijitonyama,DSM
TV ina miezi 11, haijawahi sumbua
Inauzwa tsh 550,000
Mwenye uhitaji karibu PM tuyajenge
Habarini ndugu zangu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, natafuta mabati yaliyotumika. Kwa mtu yeyote mwenye nayo naomba tufanye mawasiliano nahitaji kama mabati 50. Pia natafuta ceiling...
Kahawa ni miongoni mwa zao la biashara linalolimwa ukanda wa Afrika Mashariki ikiwemo na Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa ambayo zao la kahawa linapatikana hususani kahawa aina...
Habari wana jamvi,
Nahitaji kufahamu wapi naweza kupata fundi mwenye ujuzi wa kutengeneza zip za sanduku. Au kuweka zip mpya kwenye sanduku kubwa.
Kama kuna mwenye namba au maelekezo nitashkuru...
Kanuni Na. 04.
Kuwa Na Fokasi.
Fokasi ni kuchagua mtaa mmoja na kuwaachia mitaa mingine wawekezaji wengine. Fokasi ni kujenga timu bora sana kwenye mkoa mmoja au wilaya moja na kuacha...
Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili...
Naitwa Auson frank ni mkulima wa zao la vanilla ambalo tunafanyia kilimo mkoa wa Bukoba-Kagera ambapo tunazalisha zaidi ya tani 5 ya vanilla.
Kwa Dar es salaam tunapatikana magomeni kagera kwa...
Habari zenu, natamani nipate ujuzi wa kupaka make up sababu naona nina interest na mambo ya urembo nadhani nitaexcel huko.
Nahitaji mapendekezo yenu je ni wapi nitapata hayo mafunzo kwa Dar yani...
Habar wakuu
Je ww una mtoto aliyemaliza darasa la Saba 2023
Je mtoto wako wa Kike au wakiume amepata pass au grade C na kuendelea
Je ungependa mwanao asomo shule za HOSTEL za SEREKALI zilipo...
EPISODE 2
Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika.
ZIWA MOMELLA
Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu...
Nauza jumla ndani ya box viko kumi... 250,000/=
Reja reja nauza kimoja 29,000/=
Alafu tambueni, kuna vitochi namba 1 na namba 2 vinafanana kila kitu ila sasa hivyo namba 2 utatumia wiki moja...
Septemba 03, 2023, hii ilikuwa ni tarehe ambayo nilipata nafasi ya kuwapeleka watalii ndani ya hifadhi ya taifa Arusha inayopatikana mkoa wa Arusha. Hifadhi ambayo Mfalme Charles wa III na malkia...
Habari wakuu,! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80.
Nipo...
Tunauza mashine za kisasa za kupandia mbegu shambani.
Mashine hizi zinauwezo wa kupanda mbegu pamoja na mbolea kwa mara moja.
■Bei 350,000Tsh tu.
■Call
0656 446 991
0747 608 608
Dsm Tegeta kwa...
KINUKAMORI MARANGU, MOSHI KILIMANJARO
Unapozungumzia maeneo yenye mandhari mazuri kwa ajili ya utalii ndani ya mkoa wa Kilimanjaro basi wilaya ya Moshi imebarikiwa sana. Maporomoko ya maji...