NAUZA KIWANJA UKUBWA WA MITA 20X20 (400SQM) KIBAHA KONGOWE, UMBALI WA KM 1 TOKA STAND/MOROGORO ROAD, BARABARA MAJI NA UMEME VIMEFIKA
BEI NI 5.5 MILLIONS
SIMU [emoji338]0784325299
Haya hii ni kwa Content Creators najua hizi mic huwa Mnazipata kwa shida sasa nimewaletea kwa 29,900/- tu. Sauti nzuri; hutolazimika kuwa karibu na simu ili inase sauti maana mic hii itakunasia...
•Taa zinamwanga wa kutosha ni auto usiku zinawaka zenyewe
•mikoani tunatuma kwa uaminifu
•unaweza kufunga nje ya nyumba au kwenye fensi
•namba ya simu ni 0658554720
Karibuni
Karibuni wateja wetu viwanja na mashamba Arusha , tunamaji ya chai kikatiti , king'ori na East Africa.
Viwanja ni vya bei nafuu.
Unaweza kununua au kulipa kwa awamu.
Ila kuna kiwanja muungano...
Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali...
OFISI YA MOVIE inauzwa ni Computer
Desktop Core i5 (4th Gen)
Brand HP
STORAGE 20TB
RAM 12GB
MONITOR 17INCH (DELL)
KEYBOARD
MOUSE
ina Movie zote za kutafsiriwa hii ilikua ni ofisi ya kumpa mtu...
Wana Jamii,
Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640.
Bei zetu;
50pcs : 175,000/-
100pcs...
Karibuni GETRICH BUSINESS CONSULTANTS wataalamu wa kuandika na kushauri juu ya uandishi bora wa PROPOSAL, COMPANY PROFILE, BUSINESS PLAN na kadharika.
ofisi zetu zipo buguruni Rozana (Kwenye...
Habari
Nahitaji mtu kwenye biashara ya visiga mgahawa ambae anaweza kupika vyakula na bites
Pilau, biryan, vitafunwa sambusa, chapati inshort kma vyakula vya Pwani urojo na kadhalika if you are...
Nyumba ipo morogoro kihonda
Km 1 na nusu kutoka dodoma road.
Nauli kutoka morogoro mjini 500
Ina vyumba vitano,kimoja master.
Ukubwa kiwanja mita 25 kwa 20.
Milioni 35.
Mazungumzo yapo
Jipatie mayonnaise nzuri.
Q MAYONNAISE ni nzuri, bora na ya kizalendo na kwa bei rahisi sana, jumla na rejareja, tunakufikishia popote hapa DSM, tunatuma kwa waliopo mikoani.
Inapatikana kwa...
Salama wakuu?
Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni.
-Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara.
-kuna banda watu wanakaa
-kipo jirani na chuo cha afya COTC
-Kimepimwa sqm 317...
Habari wadau, mimi ni mkulima kutoka Mtwara Mkoani nina muhogo hekari tatu na upo tayari kuliwa nina tafuta soko la kuchimba mzigo wote kwa mkupuo. [emoji1488] # 0693 391 566
Bei ni elfu 25 tu kwa koti moja,mawili ni elfu 45.
Tunapatikana Makumbusho, Tunafanya delivery kokote ulipo.
Material ya kitambaa ni tetron laini inayong'aa, rahisi kufua na kupiga pasi...
Habari
Nauza Asali mbichi ya nyuki wakubwa kwa jumla na rejareja,
Asali hii sio ile ya kupika jamani niwaahidi hilo
Asali ina faida nyingi sana kwenye mwili wa binaadam kwa uchache tu
*Huondoa...
Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu.
Kwasasa nitakuwa napatikana...