Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kampuni ya godson poultry solution moshi kwa kushirikiana na engonho farmer ya Kenya tunawaletea VIFARANGA bora wa kienyeji aina ya :- KENBRO:- Hii inatoka Kenya ni VIFARANGA wanaoweza...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Bei/Price[emoji2531]: TSH 18.8M Call[emoji338]0747 999 927 TOYOTA PREMIO [emoji777] Yom: 2006 Engine: 1.8L Mileage: 55K Transmission: AUTO [emoji92]Fog Lights [emoji92]Sport Rims...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel...
2 Reactions
135 Replies
8K Views
Kama unahitaji maziwa mtindi au fresh na cheese kwa jumla au reja reja karibu PROFET, tupo Tabata chama nyuma ya DAWASCO. Huduma ya derivery ipo kwa wateja wakubwa na kwa wateja wa kawaida...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza kreti za bia na soda zipo 150.. Napatikana dar es salaam mbezi luis.. 0658643636 Kreti za bia 12000 Kreti za soda 11000
2 Reactions
9 Replies
2K Views
@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the...
27 Reactions
1K Replies
88K Views
Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20 Bei:- million 25 maongezi yapo Call/WhatsApp:-...
0 Reactions
3 Replies
763 Views
NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia...
7 Reactions
132 Replies
9K Views
Mvua zishaanza hizi, jipatie mkaa mzito na mgumu kwa bei nzuri na rahisi gunia Tsh. 50,000/= Free delivery kwa wakazi wa Temeke. Mawasiliano: 0766252508
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
ANVIZ T5 Pro - Ni mpya - Unaweza tumia kama Access Control na Time/Attendance system - Inatumia Fingerprint na MFID Cards - TCP/IP, RS485 na Mini USB Port Bei ni 350,000/=
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
1 Reactions
17 Replies
947 Views
Samahani wapendwaa natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote Bf1 na Bf2, hivyoo kwa mtu yoyote anaejua connection na watu wanaoweza kununua naomba aniunganishe nao, awali wanunuzi wangu...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Habari, Kama kichwaa kinavo jielewaa hapo juu, natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote yaan Bf1 ubora wa kwanzaa na Bf2 ubora wa pili, majani yapo ya kutoshaa, hivyo naomba mwenye...
1 Reactions
0 Replies
535 Views
Small deep freezer, used needed. Hello wakuu nahitaji deep freezer Kadogoo kwa ajili ya kuwekea chakula cha mbwa wangu , sio mpya wakuu , Itakuwa vizuri sana kama kako ARUSHA , bei iwe rafiki ...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Wakuu nahitaji modem ya TTCL Kwa mtu yoyote ambae anauza na Yuko Dodoma please nidm Nataka Ile ambayo ina WiFi na mtu zaidi ya mmoja anaweza kukonect
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Hard disk za laptop mpya 500 GB = 45,000 tsh Ukihitaji kuanzia mbili bei inapungua kwa mawasiliano zaidi 0621 089 762 tupo dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Ina kodi ya miaka 8,imetazama barabara unaweza kuuza vipodozi, vitenge, mashuka mapazia, nguo n.k, ipo lumumba Mwanza mjini 0717072172
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tunatoa Huduma za kitaalamu za Electrical, Electronics na Smart Security system HUDUMA ZETU 1.kuunda kifaa au kutengeneza mchoro wa kifaa cha kielectronics kulingana na wazo(idea) ya mteja,kwa...
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Ofa pata madirisha na milango ya Aluminium kwa bei zifuatazo Dirisha la futi 5x5 ni 260,000 Dirisha la futi 5x6 ni 270,000 Dirisha la futi 6x6 ni 280,000 Dirisha la futi 6x7 ni 300,000 Dirisha la...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…