OFFER OFFER
🔴MONEY COUNTER MACHINE / MASHINE YA KUHESABIA HELA
.
.
🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services, epuka kupoteza pesa kwa kuchanganya...
Karibu nikupatie ramani ya vyumba vitatu kwa shiling 20000 tu ina
.sitting room
.dining room
.korido
.public toilet
. 1 master bedroom
.2 normal room
.vibaraza viwili mbele na nyuma
Nb haina jiko...
Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa
Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam...
Habari zenu wadau.
Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba...
Habari za jioni nipo Dar es salaam nauza Rim paper size ya A4 gm 80 kwa bei ya sh.55,000 kwa kila carton mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu kwa maelezo zaidi nicheki 0789386320.
Karibuni.
Habari wana jamii
Poleni kwa majukumu ya kujenga taifa
Contena zina ukubwa wa 20ft
Zina documents zote za umiliki
Zipo kwenye hali nzuri
Location: chang'ombe
Price: 4.3m
Mawasiliano: 0656 387577
STREETLIGHT
Karibu Ujipatie Taa yenye Muonekano Mzuri na Yenye Mwanga wa Kutosha kumulika Eneo lako.
Taa hizi za Streetlights unaweza Kuifunga katika Hotel, Shambani, Godawn, Shuleni, Barabara...
Printer hp 7500 a wide format------laki 3
Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu
Sigma lense 170-500----------------laki 4
Studio light na background yake laki 4
Kwa maelezo zaidi...
Tenki hilo
2000L
Bei 250,000
0744033555
Limetobolewa sehemu 3 kwa ajili ya kusambaza maji kwa nyumba za wapangaji.
hapo lilipo ni la kushusha tu na kuondoka nalo
Hello..
Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama
1. Uchafuzi wa nyumba...
Nguo kali za mitumba za kiume grade A, Cream kabisa.
Wanaume
1. Mashati ya ofisini
2. Mashati casual
3. Form 6
4. Jeans mkataba
5. Pensi
7. Flana
9. Cardet
10. Suaruali za vitambaa
Bei zetu ni...
Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea.
Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres).
Mahali: Chamazi, karibu na Azam...
Simu:
Nauza Inverter
Brand: Victron Energy
Model: Multiplus
Power: 2000VA
System Battery: 24 VDC
Both inverter and charger
Bei 1.5m Fixed
Growatt
Model SPF 3000 HVM
Power: 3000VA
System...
Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/=
Unaweza piga/whatsap 0719478826
Deliver nafanya pia ukihitaji✅
Karibu sana
Kampuni : SEAGATE
Size: 1 TB
Contacts: PM
Hard Disk nzuri haina shida aina yoyote,ukihitaji nikuwekee na movie aina zozote utakazotaka inawezekana pia (bei ya movie tutaongea).
Nikikupa HARD...
Chainsaw aina ya Newtop inauzwa
Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.