Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..
Zina sifa zifuatazo.
1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.
2. Ina Live location na live tracking...
Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na...
Kwa mahitaji yako ya asali mbichi …
Asali hii kutoka katika msitu wa Kigosi … ni asali salama sana kutokana na kuvunwa mbali na makazi ya watu kwa zaidi ya Km 50…
(Organic Honey)…
Bei zake ni
~...
Habari,
Kwa mahitaji ya vifaa vya umeme, tunapokea order za wateja wetu, tunahakikisha mteja wetu anapata huduma ya uhakika na kwa muda muafaka, kupitia thread hii ntashare products mbali...
Okoa gharama kwa kufunga taa hizi za solar.
Taa hizi zinamfumo wa kujiwasha zenyewe kila baada ya masaa kadhaa kama utakavyo iseti
pia zinakuja na remote control yake ya kuseti
Zina sensor...
Tunauza mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone Drip Irrigation system.
MIFUGO PLUS GROUP tuna pipes zenye uwezo wa kutoa maji kwa mfumo wa matone matone kwa ufanisi mkubwa zaid pia Drip...
Tunauza mizani ya kisasa yenye uwezo wa kupima 0 kg hadi 300 kg .
- Mizani hii ni mizuri sana kwani inatumia betri za remote.
- Mizani hii hutumika kupimia chakula cha mifugo wakati wa...
Kahawa Safi iliyoandaliwa
kwa umakini, inapatikana.
A. 0.5Kg Tshs 13,000/=
B. 1kg = Tshs 25,000/=
Maximum package hadi 5kg.
Popote pale ulipo,
unaweza kuipata
Call: 0715 240 140
Whats: 0715...
Baadhi ya Orodha ya Vyombo vya Muziki na Vifaa vya studio tunavyouza vinavyopatikana Dukani kwetu.
Duka letu lipo Dodoma mjini, (Kizota) kituo cha daladala cha City jengo wanalouza bajaji za TVS...
Habari wandugu ,
Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures..
Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/=
Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana...
Kontena lipo Dar Mbezi Kimara
Ukubwa ni 40ft
Halina document
Unauziwa kwa mkataba na kampuni
0744757738
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tunauza mashine mpya za kutotolesha vifaranga.
Mashine zetu ni mpya na zenye ubora wa hali ya juu. Kwa sasa tunauza mashine za kutotolesha mayai 1056 na mayai 528. Inatumia umeme wa 220V na power...
Habarini Wana JF.
Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item.
napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam.
Contact: 0753158943
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.