Humminbird HELIX 12 ($1000)
This is one of the units the Wired2fish staff has the most time with and can say without reservation that this is one of the best units on the market for anglers. Our...
Oven+jiko la umeme linauzwa ni jipya bado. Maana risiti ya mauzo bado ipo
Mawasiliano. 0672701329 .....bei ni 230,000/= lipo moshi mjini...free delivery included
Kama picha inavyoonekana full...
Habari!
Tunauza portable car inverter kwa ajili ya kubadili Umeme wa DC kuwa AC kwa matumizi madogo kama kucha
ji laptop, kuchaji bluetooth speaker, ku run hair dryer au fan.
Kwa wale...
Habari!
Nauza smart keyboard cases complete na external wireless mouse yake kwa ajili ya iPad Pro 11/10.9 inch. Products ni mpya kabisa
Bei 140,000 TZS tu!
Tupigie 0712075845
Kwa wale mnaopenda mziki mzito, nauza Subwoofer tajwa hapo juu, haina shida yoyote, kwa wale mnaohitaji real punch with pure bass inayikita kifuani ,mashine hiyo hapo 200watts rms ,ina coil ya...
Habari wanajamii
Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli
Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli
Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi...
Monaco ni jina la brand ya saa inayojulikana sana na yenye umaarufu wa kimataifa. Inatengenezwa na kampuni inayoitwa TAG Heuer, ambayo ni moja ya watengenezaji wa saa wa hali ya juu zaidi duniani...
Tumepunguza bei tunauza piece moja kwa bei ya jumla yaani Tsh 35,000 kwa pc zimebaki pieces chache
(M59 ULTRA SMARTWATCH)
💧Ina mikanda miwili
💧Ina Bluetooth
💧Wireless charger
💧Inapiga na kupokea...
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN"
Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa...
Nauza External Hard Drive aina ya Transcend yenye ukubwa wa GB 1000
Haina changamoto ya aina yoyote na ukiinunua ndio utaamini nilikua nasema kweli au natania.
MREJESHO
Imeshauzwa
Lige Smart Watch
Genuine Assured[emoji736]
answer Calls & Make Calls and Msg[emoji736]
Get an extra Strap
Measure[emoji736]
7 days with Charge [emoji736] Steps, Calories, Steps, Weather [emoji736]...
Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc
New condenser microphone
Noise/ echo cancellation
YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc
Just plug & play
OFFER...
Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.
Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa...
Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro
Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,
Special functions zaidi ya 30
Active test
Immobilizer and Key Programming...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.