Salam,
Kiwanja kimepimwa kinauzwa Lindi eneo la Mtanda.
Kina ukubwa wa 30 x 60 bei ni 5M.
Unapata view nzuri ya bahari ya Hindi na viunga vya mji wa Lindi.
Kipo karibu na nguzo ya umeme, pia...
Ndugu zangu habari, mimi nipo mbele yenu leo kuliuza shamba zuri la mikorosho lililopo wilaya ya Manyoni lenye ukubwa wa ekari 13.
Shamba hili lipo katika mradi mkubwa sana wa korosho hapa...
Changamkia hii fursa
kiwanja kinauzwa hakina dalali ni mtaa wa Rasta zuma kata ya terrati...jijini arusha.
Huduma za kijamii
.maji umeme vipo na usafiri wa daladala ni wa uhakika.
Mmiliki amehama...
Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja.
Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho.
Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha.
BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo(...
Plots nzuri kabisa Mbezi mwisho (1.5Km ) Kutoka KITUO kikuuu Cha mabasi Cha Magufuli (Magufuli bus Stand).
Karibu tujenge taifa pamoja.
Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI.
Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa.
UKUBWA
1. UREFU 28
2. UPANA 25
Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA...
Mashamba ya miti zaidi ya ekari 50 yaliyo mkoani Iringa-mafinga yanauzwa.
Miti ipo kati ya umri wa miaka 6-10 kulingana na shamba husika.
Bei ya shamba inauzwa kwa ekari/zima kulingana na shamba...
Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri...
Habari wana Jamvi,
Mimi ni mmiliki wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha, kiwanja kipo Buhongwa centre na kimepimwa, kina ukubwa wa 40 kwa 30.
Bei mil.6.5
N.B Hakina dalali.
0687259290
[emoji3591]Wadau habari za jioni
Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension.
[emoji3591]Eneo lina square mitre 373
[emoji3591]Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo...
Kiwanja kinauzwa goba tegeta A
Mtaa kazimoto street.
Sqm 360
Price 9.5m
Huduma zote za msingi zipo ikiwemo maji na umeme.
Gari mpaka kiwanjani.
Call: 0767507487
Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 400 kinauzwa kwa shilingi Milioni 12.
Kiwanja kiko wilaya ya Kinondoni eneo linaloitwa Mivumoni pia kiwanja kiko mita 700 kutoka Mivumoni Senta na kiko...
Nauza eneo/ kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa makazi.
Mahali:Nyashishi - Mwanza.
Kilometre 1.5 kutoka barabara kuu ya lami,
Mwanza - Shinyanga.
Aina: Tambarare,kubwa na zuri kwa ujenzi.
-Halina...
Viwanja vipo goba tegeta A ukivuka shule ya msingi kuelekea madawa.
1. 20/22meter kipo kazimoto street. Bei ni sh 13 mio mazungumzo yapo.
2. 20/30 meter kipo kazimoto street, kina kamtelemko...
Kipo mbezi njia ya goba. Kituo kinaitwa kontena karibu na kanisa katoliki.
Ni mbezi ya juu mtaa wa kunguru yalipo makazi ya mbunge Ester Bulaya ambayo ni opp na secondary ya sant Joseph.
Fika au...
Viwanja vya makazi ,vimepimwa vinauzwa kisongo ,matevez ,Arusha
Ukubwa ni kuanzia 20m× 20m kwa mil 6.5
10m× 10m kwa mil 1.5 .huduma muhim zote zipo umeme upo kwenye mradi tayari upo kwenye viwanja...
Kiwanja kikubwa cha mita za mraba 940 na kimepimwa kiko Goba wilaya ya Ubungo umbali wa kilomita 2 kutoka Goba senta. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe hivyo hapa hakuna udalali, nifate inbox...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.