Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza.
size ni 30*25 ft
kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza.
Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia.
Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho.
Bei 6 million...
Eneo: Goba Kulangwa
Uelekeo: 2Km kutoka barabara mpya ya lami ya njia nne kwenda Tegeta
Ukubwa: 400sqm
Hadhi: Skwata
Bei:Milioni 12
Eneo zuri lina barabara nzuri, na Umeme Upo tayari.
Ukihitaji...
Viwanja vipo mita 500 kutoka Barabara kuu ya lami morogoro to dodoma,hakuna haja ya bodaboda, kutoka msamvu stand ni daladala moja nul ya manispaa. pamejengeka vizur sana, vipo ndani ya fansi...
Eneo Chanika Buyuni kituo cha daladala kwa dadi, ukubwa urefu hatua 25 na upana hatua 15. Eneo lina msingi wa nyumba vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom, kina sebule, jiko na choo cha...
Shamba hili lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo.
Kuna...
Kiwanja kinauzwa IGOMA
mtaa wa kilimo msikitini
SIZE YAKE NI HATUA 33*33
Kimepimwa (beacon zimewekwa)
Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote.
kutoka kiwanjani kwenda igoma senta...
Eneo la kujenga kituo cha mafuta, hotel au Ukumbi wa Starehe linauzwa.
Location: Kahama
Upana: Miter 70
Urefu Miter 100
Sawa na Square miter 7,000
Bei ya kuuza Mil.125 Tsh.
Eneo linayo number ya...
Mahali: Iringa mjini, kata ya nduli Hadhi: Hakijapimwa.
Ukubwa: hatua 27*30
Nyaraka: Hati ya mauziano toka ofisi ya kata
Bei: 3.5 milioni
Mawasiliano: 0627089049
Kiwanja kipo katika mtaa wa...
Plot zimeshafanyiwa upimaji tayari
Bado kutoa Hati tu zipo cheka mita
130 toka barabara kuu Bei milioni 6 tu
Njoo upate kiwanja chenye Hati kwa garama nafuu 0713672719 na 0787672719
Viwanja vipo Cheka kilipo chuo Cha Silva
Vina ukubwa wa 25/23 Bei milioni tatu 3
Viwanja vimebaki vichache njoo uwekeze
Hostel kwa wanachuo nicheki 0767672719
0787672719
Viwanja viko vitatu.
vyote vina hati za serikali
umbali ni km 1 kutoka lami.
size ni sqr m 600 kila kimoja
(30m*20m)
Eneo lina umeme
Bei ni 25mil
0713096076
Nyumba inauzwa bunju A
Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet
Uwanja ni sqm700
Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani.
Bei 150m
0762815104
Kiwanja kipo sehemu nzuri,kituo kwa george,dakika tano kutembea kutokea main road mpaka kwenye kiwanja,huduma zote za kibinadamu zipo umeme,maji(dawasco) yapo.
Ukubwa wa kiwanja ni 20*20 kwa...
Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Luois
Cha kwanza kinaukubwa wa square mitre 1,154
Bei milioni 37,000,000/=
Cha pili square mitre 900
Bei milioni 25,000,000/=
Cha tatu square mitre 850
Bei milioni...
Viwanja kibaha
Square meter 500
Price million 5
Vipo viwanja 12
Umbali kutoka barabara kuu ni kilometer 1.5
Maji na umeme vipo, eneo lililochangamka sana
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.