Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya.
vipo vinne(4) mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000)
ukichukua vyote vinne utapata punguzo
kutoka main road mpk kwenye...
Property connect ltd, inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #kigamboni
viwanja vyote vimepimwa [emoji736]
Eneo: amani gomvu (kigamboni)
(karibu na...
Nauza eneo (ekari moja) Milioni 12 ,Ila naweza kukata viwanja vya 35*35 kwa 3 milioni . Kiwanja kipo lingato kigamboni. Kama unatoka ferry kwenda kongowe kituo Ni fundi baiskeli halafu unachukua...
Shamba linaukubwa wa heka 1.
Lipo Lushoto Tanga.
Shamba lipo kando ya chemchem kama inavyoonekana kwenye picha.
Shamba la kulima safi kabisa.
Piga simu0712773128.
Bei milioni 8 na maengezi yapo.
Plot Zipo cheka kigamboni zimebaki mbili
Kwa pamoja Bei ya awali ml 4 kila moja sasa Bei ya punguzo kwa zote mbili ml 5.5
Ukubwa no 20×20 zipo karibu na chuo Cha Silva una weza Jenga hostel...
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi Mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Vyumba viwili vya kulala, Sebule, choo ndani...
Eneo hilo kwaajili ya kujenga hotel au camp site, lipo pembezoni mwa hifadhi ya ruaha national park, barabara imechongwa mpaka hapo kwenye eneo.
Eneo limepimwa na hati ipo, ukubwa ni ekari 50, na...
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,kwa bei nzur na viwanja vimeshapimwa vipo katika michakato ya hati
mita 35*35...
Karibu sana
Kiwanja kiko Jijini Mwanza.
Kata: Muhandu
wilaya: Nyamagana
mtaa: Galilaya
kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa
ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu.
Miundombinu yote...
habari ndugu wa jf.
nina eneo langu lipo Itez Uyole Mbeya karibu na reli,lina ukubwa wa 60x125mita naliuza kwa bei ya 23 milion.eneo halina hati ila lina documents zote zinazo support na kuonesha...
Viwanja vipo viwili kila kimoja ukubwa wake ni mita 20 kwa 54.
Viwanja vyote vipo kibamba Luguruni ambapo ni kilomita 2.5 kutoka barabara ya lami na ofisi za wilaya ya ubungo.
Viwanja vyote kuna...
Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge.
Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga.
Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu...
Habari wana JF!
Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea).
Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla...
Hii sio ya kukosa viwanja vipo mwembe mdogo Kigamboni vina ukubwa wa mita
Kuanzia 20×20 na kuendelea Bei ml 5 pia
Unasikilizwa mteja malipo asilimia 50
Kilicho baki ndani ya miezi mpaka 3 tucheki...
Shamba la miti linauzwa.Miti aina ya pines. Ukubwa wa ekari moja na nusu. Shamba lipo tanga lushoto kata ya migambo. Bei ni 5.5M piga cm hapa 0712773128
Habari za leo wana JF.
Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga.
Ni sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.