Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado.
______
Update
Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil
Picha yake...
Shamba limelimwa mara mbili ni safi
hati ipo ya kimila.
kila eka ni laki 5 na nusu
MAELEZO YA SHAMBA
wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar Masaa ma4...
Beach plot for sale Kigamboni Darajani
Eneo linaukubwa wa heka 2
Bei milion 200
Eneo ni Skwata
Kwa maelezo zaid call 0718606739
0685752509
Full documents
Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku)
Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani
Urefu 70 upana 35
Bei ni...
Kiwanja kipo kigamboni maeneo ya dege kuna ukubwa wa sqm 1900 kimeshapimwa kabisa na kina hati tayari.
Kimezungukwa na barabara pande zote kipo mazingira mazuri sana.
Price 70mil
Negotiations...
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta...
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M...
Shamba linauzwa
Liko- Tanga Tanzania.
Mahali- Handeni
Eneo- Kabuku
Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.
Ukubwa wake ni heka 100
Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.
Ndani yake lina...
Shamba linauzwa
Liko- Tanga Tanzania.
Mahali- Handeni
Eneo- Kabuku
Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.
Ukubwa wake ni heka 100
Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.
Ndani yake lina...
𝒌𝒊𝒘𝒂𝒏𝒋𝒂 kinauzwa
𝓹𝓻𝓲𝓬𝓮: million 5.
𝑳𝑶𝑪𝑨𝑻𝑰𝑶𝑵: kimara mwisho kwa komba.
𝒔𝒊𝒛𝒆: mita 20 kwa 12.
Mauziano ya Serikali ya Mtaa
𝒎𝒂𝒘𝒂𝒔𝒊𝒍𝒊𝒂𝒏𝒐: 0683011003
ɢᴀʀɪ ɪɴᴀғɪᴋᴀ ᴍᴘᴀᴋᴀ ᴋɪᴡᴀɴᴊᴀɴɪ
Shamba la ekari 100
linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1)
zao la korosho inakubali Sana hapo.
SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida.
Shamba linakubali...
Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=.
Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo.
Bunju
Mzee...
Kiwanja kina hati kabisa kinauzwa Mabwepande, kina ukubwa sqm 447.Kinapatikana Mabwepande Bar mpya,kinafaa kwa ajili ya biashara au makazi sababu kipo barabarani.
Bei yake ni 11,000,000...
Viwanja vunauzwa Kigamboni Vikunai, vinatazamana na maghorofa ya NSSF.
Viwanja vina ukubwa wa mita 27*22
Price = million 5
Cont 0718 606739
0685 752509
Kwenda kuona viwanja site ni buree
Hlw guys..
Fursa ya shamba lenye ukubwa wa hekali 239.16 linauzwa; Location "SHAMBA LINAPATIKANA KWADOYA VILLAGE HANDENI DISTRICT"
KATIKA SHAMBA HILO HEKALI 2 ZIMELIMWA MITI YA MITIKI..
DOCUMENT...
Wadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua...
Kiwanja kinauzwa Bunju A
Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete
document za serikali ya mtaa zipo
Bado hakijapimwa
Size 30*30
KUHUSU MIUNDOMBINU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.