Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami.
Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking)
Bei - Tshs...
Kiwanja namba 79 block uu"
Eneo stand mpya maisaka katani.
Ukubwa 40m kwa 30m =1200m squares
Bei=milioni 2 unaweza tanguliza milioni 1 halafu inayobaki tutakubaliana namna ya kulipa.
Ambaye yupo...
Ofa ofa tshs 30,000 na 25,000 tu kwa sqm moja
Viko: mbezi msakuzi
Mahali: msakuzi kwa lipe.
Umbali mita 500m mpaka masakuzi center pia kutoka msakuzi mpaka njia panda ya goba na makabe 4km...
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.
Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
Eneo lipo vigwanza njia ya kwenda bandari kavu kwala,zipo eka mbili,Kila eka moja milioni tatu,mita chache kutoka barabara ya kwenda bandarini,linafaa kwa makazi,kuweka godown kwa ajili ya mizigo...
Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam,
Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa,
Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓
Kina ukubwa wa Sqm 1010m²,
BEI KWA...
Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam,
Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa,
Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓
Kina ukubwa wa Sqm 1010m²,
BEI KWA...
Beach plot for sale Bagamoyo
Viwanja vipo eka 3 na lina hati miliki kila eka moja bei yake 120million maongezi yapo.
[emoji1428] eka moja tsh: 120million maongezi yapo
[emoji3591]viwanja...
LOCATION: Goba Kulangwa
DIRECTION: 3Kilometer from Main road
PLOT SIZE: 30M × 20M (600sqm)
PRICE: Tshs 8 Milioni [ Negotiable]
Lovely plot located about 3 kilometer distance from main road, found...
Nauza kiwanja changu bei ni Milioni 3 kina ukubwa wa mita 20×20 Kiluvya Makurunge , umeme tayari umefika kwenye kiwanja, barabara inapitika wakati wote
0784 369336
Kiwanja kikubwa kinauzwa Mwanza chenye ukubwa wa zaidi ya square meter 4300.
Pia kina nyumba na miti mingi ya matunda na miti pori.
Kipo buzuruga Mwanza sehemu nzuri kwa kuwekeza real estate...
Habari zenu wadau?
Nauza eneo la ukubwa wa square meter 7081.9
Lipo km 16 kutoka Mtwara Mjini.
Lipo umbali wa meter 860 kutoka bara bara kuu ya MTWARA-NEWALA.
Ni katika kijiji cha MDUWI.
Kuna...
Habari JF,Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nauzwa kiwanjaa kikubwa ambacho tayari kimepimwa na kuwekewa mawe
Sifa za kiwanja:
Ukubwa ni 900M² (square meter 900)
Ardhi tambalale yenye...
Ukubwa wa Kiwanja: 1200 Mita za Mraba.
Kimepimwa: Ndiyo.
Kina Hati: Ndiyo.
Bei: Tshs Milioni 100 ( Maelewano yapo )
Eneo kilipo kiwanja: Salasala Karibu na kwa aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Waitara...
kiwanja kipo maeneo ya ubungo kibangu karibu na kwa novo
size ya kiwanja ni nusu heka
bei ya kiwanja ni milion 35
kiwanja kina hati moja ivyo unakatiwa nusu heka hlf hati inafuatiliwa ya kwako tu...
Punguzo la beik kubwa
Karibu ujipatie viwanja vizuri maeneo ya Kibaha Misugusugu. Viwanja tambarare kabisa. Viwanja viko 2km kutoka Morogoro road. Huduma za kijamii zipo karibu
20kwa20 bei 1.8m...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.