-Kiwanja kipo Kiluvya Gogoni mbele ya Kibamba
-Kiwanja kinatazama Morogoro road
-Kina ukubwa wa square meter 4800s
-Kina hatimiliki
-Kinafaa kwa matumizi ya sheli,godown au kiwanda
bei : mil...
Kina ukubwa wa 2500 square meters
Kimepimwa
Kinafikika
Huduma za maji na umeme zipo. Bei elekezi 200mil.
Kwa habari zaidi kuhusu kiwanja hiki wasiliana nami kwa simu +255627660225
1. Viko umbali wa 4km kutoka lami au 4km kutoka Dar es Salaam Zoo au 14km kutoka Kibada centre ama 23km kutoka ferry
2. Vimepimwa tayari kwa hati
3. Unaweza lipia hadi hati halafu tukakutafutia...
Shamba la miti ya mbao ekari 80 linauzwa kijiji cha kibengu wilaya ya mufindi km 60 kutoka mafinga mjini, miti ina umri wa miaka sita.
Mahali panafikika kwa usafiri wa aina zote. Bei elekezi ni...
-Eneo lipo Goba karibu na njia nne,limeface barabara ya lami
-Ukubwa wa eneo ni square meter 2961
- Eneo lina hati kwa matumizi ya sheli
Bei: maelewano na mmiliki
mawasiliano: 0765494548
Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11
Ukubwa ni 30*30
Huduma zote zipo maji na umeme.
Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi.
*ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea...
Hello Jf.
Kiwanja kiko katika mazingira mazuri mazuri kama kinavyoonekana
Kishapimwa, hati ndio inasubiriwa
Umeme upo, hatua chache huongezi nguzo
Maji yapo lakin chumvi. Dawasa inakuja soon...
Eneo lipo Kibada block 18,
Ukubwa wa eneo ni SQM 3500.
Eneo lemepimwa na lina hati kutoka wizara ya Ardhi.
Linafaa kwa matumizi mbali mbali, kama vile, Go down, Kiwanda kidogo, Ujenzi wa shule...
Viwanja hivi vinapatikana Vikindu, vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, Umeme, Shule, Hospital n.k umbali kutoka Vikindu Stendi ni km 2
Ukubwa Futi 50 X 40 Milion 1.
Ukubwa Futi 50 X 80...
Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje)
Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800)
Umeme na maji vipo karibu.
Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo.
Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu...
Beach Plot No 1 kina Sqm 1,808 kinauzwa Tshs 100,000,000/ ila Hati bado inabidi kilipiwe kiasi na Hati ikitoka zinamaliziwa.
Beach Plot No 2 kina 1,323 sqm kinauzwa Tshs 95'000'000/ kina Hati...
VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU
_______________________________
NIMEWALETEA VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU KATIKA ENEO LIITWALO MICHESE,NAOMBA TUIFAHAMU MICHESE KWANZA KWA KUSOMA MAELEZO HAYA...
Viwanja vipo Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam.
Ni karibu na Madale Mwisho.
Viwanja vinne vipo km 2 kutoka Madale Stendi, na kimoja kipo karibu na Stendi ya Goba...
Plot is situated at KIMARA- TEMBONI , 3KM from Temboni bus stand . plot ni tambalale ukubwa wa kiwanja ni SQUARE METER 900 ( 30 METER * 30 METER) ...
PRICE MIL. 12,000,000/= (negotiable ) . ENEO...
Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda.
Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe.
Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde...
Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
Habari wadau!
Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja.
1.UKUBWA hatua 70 kwa 70
2.MUONEKANO...
Nauza kiwanja
Kipo kinyerezi karibu na sheli ya Victoria
Ni dk1 tu kutoka barabarani
Bei mil 23 maongezi yapo
Kina ukubwa wa Mita 45*35*25*10
Hata mwenye pesa pungufu anaweza kulipa Kwa awamu so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.