Kiwanja kinauzwa kipo Mvuti -kiboga, Mvuti ipo katikati ya mbagala na Chanika now kinauzwa kwa tsh 1.2m tu ukubwa 30x16m.kutoka Mvuti stand mpk site bodaboda tsh 2000
0657999034
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price...
Habari kiwanja kinauzwa Mbweni block 2 kina ukubwa wa square meters 1254 kina hati kimepimwa bei mil 40 maongezi karibuni sana kuona ni bureeee eneo ni kubwa mno
Contact 0714787795
Wakuu Habari,
Ninashamba langu Naliuza Ekari 67 na kila eka ni Tsh.3m ,miti aina ya milingoti ina miaka mitano, ambayo baada ya miaka miwili utauza, Nimepatwa na shida inayohitaji fedha...
Sehemu :Bamba,Mwongozo Kgamboni,
kimepakana na nhc
ukubwa : 632sqm,
umiliki : Kina hati
Barbara inafikika mpaka kwenye kiwanja tambarale,
kilomita chache mpka bahari ya hindi
bei :17M
mawasiliano...
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
BUYUNI BEACH PLOT
Cal.+255 788-224220
+255 767-562153
UMBALI NI 37 KM KUTOKA KIGAMBONI FERRY
-viwanja vimepimwa kwa square meter 400 (20 kwa 20)
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia...
Husika na kichwa hapo juu kwa yeyote mwenye kuhitaji shamba la kilimo lenye maji na miundo mbinu mizuri yaani barabara umeme upo shamba liko barabarani linafaa kwa kilimo cha vitunguu mpunga...
Kiwanja kizuri kipo barabarani kabisa huduma za kijamii Kama maji umeme vinapatikana kizuri zaidi mawe yanapatikana Hapo hapo kwa wale wanaopenda kupigwa upepo hapa ndo sehemu sahihi.
Kiwanja...
Habari,
Je unataman kumilik ardhi na hujui utaipata wap?Karib kwetu tukusaidie update ardhi nzuri kwa bei nafuu kabisa
tunauza Viwanja na Mashamba,
VIWANJA
vipo KIGAMBONI
-kimbiji Golani...
Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 2921 (zaidi ya nusu eka) kinauzwa.
Kiwanja kipo Kibaga- Kinyerez karibu na Songas-Kinyerezi Plant. Kiwanja kinafaa kwa shughuli za biashara, Makazi na...
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=
Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za...
Karibu Obey new villege
Ni mradi wa viwanja vya makazi na biashara (kisemvule)
BEl SASA NI MILIONI 1.3 TU.Ni Viwanja Vizuri sana VIMEPIMWA. Piga /Whatsaap 0627952483
UKUBWA kwa kila kiwanja ni...
Habari, nauza shamba heka 10 na heka 4 zipo kijiji cha pili kutoka kimanzichana kilometer moja kutoka barabara ya kilwa.
Shamba la heka 10 ni shamba Pori linafaa kwa kilimo na ufugaji, matumizi...
Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3...
Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma (Kituo funcity) mtaa wa malela kipo jirani na nyumba ya karoti.
Ukubwa Meter 26.5 * 20
Kina slope upande mmoja haiathiti ujenzi wako.
Bei milioni 6 (Neg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.