Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Tanga
Urefu 27m
Upana 22m
Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum
kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji viwanha ili...
Naunza kiwanja changu kiko Mbezi Msakuzi kilomita 2.5 kutoka mbezi mwisho. Umeme upo palepale site na huduma zingine za jamii zipo. Kimeshafanyiwa preminary survey. Ukubwa: mita 20 kwa mita 21.Bei...
Habari wakuu
Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati
Urefu:30
Upana:10.5
Bei 2m maelewano
Nb gharama za serikal ya mtaa unalipa wewe...
Mradi Mpya wa Viwanja Dar es Salaam!!
Location/Eneo: Madale Mivumoni (Nyuma ya shule ya atlas madale campus)
Distance/Umbali: 1.5 km kutoka barabara ya rami
Price/Bei: Tsh 25,000 kwa sqm...
Kiwanja ni kizuri kwa matumizi ya makazi
Eneo kilipo: bunju B
Umiliki: kina hati
Ukubwa: 1048 square metre
ziada: kimezungushiwa ukuta
Price; milioni 30 (maelewano kidogo yapo )
Mawasiliano...
Hiyo ndio March Price list ya viwanja vya Dodoma.
Wahi Sasa ujipatie kiwanja kwa bei ya punguzo.
Kwa mawasiliano simu au whatsap namba 0621399079.
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanja viko Nyashishi, kilomita mmoja kutoka stendi ya daladala nyashishi zinazofanya route ndani ya Jiji la Mwanza.
Viwanja viko zaidi ya 50 na bei zinatofautiana kulingana na ukubwa pamoja na...
Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo...
Nauza shamba nimepanda papai eka 1 na nusu,
Ukubwa wa shamba eka 5 maji yapo mengi, shamba lipo wilaya kisarawe njia ya chanika mwisho, shamba nimeng'oa visiki shamba zima, kuna kibanda cha bati...
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach)
Bahari ya Hindi.
Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
Nauza Redmi Note 7 Blue.
Brand New Sealed and straight From Xiaomi
Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage)
ROM ni 64GB
RAM 6 GB
6.3'' inch display
Line...
Karibu upate viwanja vilivyopimwa Karibu na fukwe ya bahari Kigamboni
Eneo: Bamba beach (Gezaulole)
Umbali: Mita 100 kutoka bahari I
Umbali: Km 16 kutoka Ferry
Bei: 32000 kwa mita mraba
Malipo...
kiwanja kipo Goba Mpakni
kina ukubwa wa sqm 1000 yani 40 × 25
bei ni ml 20
kimepimwa ila hakina hati
muuzaji ana dharura hivyo hata kama una nusu bei mnaweza kuandikishana then ukamalizia...
Pata viwanja vikubwa vilivyopimwa Dodoma
Eneo: Miyuji Proper
Ukubwa: Kuanzia Sqm 1700 mpaka 2100
Bei: Milion 14
Umbali: Km 1 kutoka Chuo cha Mipango
Malipo: Miezi 6
Wahi Sasa ofa hii kabambe...
Pata leo kiwanja Goba
Eneo: Goba (Tegeta A)
Bei: 30000 kwa mita mraba
Umbali: 100m kutoka barabarani
Wasiliana nasi kwa simu namba 0621399079
Au fika ofisini kwetu Ubungo, nyuma ya Ubungo...
Kiwanja kinauzwa kipo Madale kina square meters 1575 Bei milioni 35 mazungumzo yapo kwamhitaji namba no: 0764586952.
Kiwanja madale mwisho ukubwa 20/30 Bei milioni nane mazungumzo yapo kwamhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.