Eneo lenye ukubwa wa 24M kwa 47M linauzwa maeneo ya Bunju B bei ni sh milioni 35 maongezi yapo nicheki kwa hii namba 0788597559
Sent using Jamii Forums mobile app
Property Investors Company(PIC) inakuletea viwanja vilivyopimwa Dsm.
Location: Goba -Tegeta A
Price: 30000 per squaremeter
Distance: 100m from the main road ( Goba Mpakani)
Viwanja vimepimwa...
Property Investors Company inakuletea viwanja Karibu na fukwe ya Bahari ya Hindi
Eneo: Kigamboni (Gezaulole)
Fukwe: Bamba beach
Bei: 32000 kwa mita mraba (squaremeter)
Umbali: 3 km kutoka...
Pata kiwanja chenye ukubwa 40 kwa 50 kwa bei ya milion 5 kinafaa kwa project kubwa kiwanja kipo Mbagala kongowe mlamleni. Mazungumzo yapo.
Kiwanja kipo mbezi malamba ( mzalendo) kina ukubwa 15...
Karibu Karibu Karibu
Karibu upate Viwanja eneo la Vikawe.
Eneo: Vikawe (Baobab Shule)
Umbali: Km 3 kutoka Bagamoyo road
Bei: 13000 kwa mita mraba
Umeme na maji vimefika eneo la mradi...
Geospatial Land Consulting
Inakuletea Viwanja Kibaha.
Eneo: Pangani ( Nyuma ya soko la Loliondo)
Bei: 8000 kwa mita mraba
Umbali: Km 2 kutoka Morogoro Road
Viwanja vimepimwa kwaajil ya makazi Na...
Kampuni ya Property Investors Company inauza viwanja vilivyopimwa Na kutambuliwa na serikali.
Viwanja vipo Makurunge
Bei yake 12500 kwa mita mraba
Umbali ni Km 7 kutoka barabara ya Morogoro
Wahi...
CORNER PLOT FOR SALE
LOCATION:
MIKOCHENI, DAR ES SALAAM.
DESCRIPTION:
SQUARE METER 1800, FULL DOCUMENTS, TITLE DEED.
PRICE: TSH 700 million (NEGOTIABLE)
FOR MORE INFORMATIONS:
[emoji338]+255...
KARIBU KATIKA FURSA YA KUMILIKI ARDHI KWA AJILI UWEKEZAJI WA VIWANDA NA BIASHARA MKOA WA MOROGORO
Eneo la uwekezaji kwa ajili ya Viwanda na biashara linauzwa wilaya ya Morogoro Mkoa wa Morogoro...
Kampuni ya uuzaji na upimaji wa viwanja ya MAKAZI SOLUTION iliyopo Kinondoni TX inapenda kukutangazia kuwa vuwanja vya mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu vinapatikana kwa maeneo ya...
Kimepimwa (surveyed)
400 meters kutoka baharini
3 kilometers kutoka Dege Eco Village
Barabara nzuri inapitika muda wote
Kumeendelea (kumejengeka)
Kiwanja square meters 574
Bei ni Tshs 9,000,000...
Eneo: goba kibululu , km 1 kutoka goba centre
Eneo limepimwa so upatikanaji wa hati ni rahisi sana na pia ni eneo ambalo tayari kuna makazi ya watu pamoja na huduma zote (maji na umeme)...
Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo (mji mpya)
Kutoka njia panda wazo ni km 6
Kiwanja kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200
Kiwanja kipo full surveyed
Bei: 35m...
Habari wakuu! Kiwanja chenye ukubwa wa square meters 600 kinauzwa Tshs 6,500,000. Kiwanja kimepimwa na Manispaa ya Morogoro na hati ipo hatua za mwishoni kutolewa. Kiwanja kipo Kingolwira karibu...
Kipo kitungwa$ bear nanenane) nyuma ya like gorofa kubwa linalojengwa pale. Kina hati Square meters 876. 15M. Takribani meter 300 kutoka barabara kuu ya Moro -Dar. Njoiin vo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.