Kiwanja kinabadilishwa kipo Mkurumuzi Tanga km 4 kutoka stendi mpya
Urefu 27m
Upana 22m
Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.
Kiwanja bado hakina hati lakini kwa...
Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach).
Panafaa kwa...
Kiwanja kinauzwa au kinabadilishwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga
Urefu 27m Upana 22m
Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri. Kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna...
Kiwanja Kinauzwa ukubwa miguu 30 kwa 30 chenye vyumba viwili double self.Bei ni Milioni 10.5 mawasiliano 0757048829
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Kange Tanga
Urefu 27m
Upana 22m
Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum. Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.
kiwanja...
MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555
Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Kange Tanga
Urefu 27m
Upana 22m
Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.
kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la...
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa. Shamba liko Zingiziwa, Chanika wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Kuna mto unapita katikati ya shamba hivyo unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji kwa...
Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo .
kiwanja kimepimwa
Maji ya dawassa
Umeme
Na huduma zote za...
Habari za leo!
Kuna shamba linauzwa maeneo ya Kiromo Bagamoyo kilomita 5 kutoka Bagamoyo road.
Ukubwa wa shamba ni heka moja na limepandwa mihogo mwaka jana december.
Bei ni million 7.5 na...
Viwanja vinauzwa vipo Mita Mia tatu kutoka ziwa Victoria vipo maeneo ya Luchelele.
Usafiri wa daladala Hadi kiwanjani kimepimwa na taratibu zote zimefuatwa.
Bei ni mil 16 tu.
Ukubwa ni square...
kiwanja kina ukubwa wa square meter 713
- kina hati miliki
- kiko barabarani( barabara ya lami ya mbweni)
- kimezungushiwa ukuta mrefu mpaka juu
- bei maelewano (piga simu)
Mawasiliano: 0765...
Nauza kiwanja Kigamboni - gezaulole kina hati miliki original kutoka ardhi kiwanja kimepimwa huduma za kijamii zote zipo bei mil 25 karibuni contact 0714787795 / 0743251666
Ukubwa wa energy ni...
PLOTS FOR SALE DAR ES SALAAM
Location:
[emoji810]MBEZI (kimara) Luguruni
Viwanja viko nyuma ya chuo cha st. joseph mita 700 kutoka morogoro road kwa bei nafuu kabisa
[emoji810]MBWENI
Viwanja...
Habari,
0762987034
Kiwanja kipo Kigamboni maeneo ya Kimbiji , baada ya Kambi ya jeshi ya kimbiji
Kiwanja kina ukubwa wa square meter 520
Umbali kutoka Feri ni kilometer 43
Umbali toka baharini ni...
Eneo kilipo: BUNJU B njia mwabepande
umiliki: Kina hati( full titled)
ukubwa: Sqm 1600 (53 kwa 30)
bei: 35m (maongezi kidogo yapo)
hakuna longolongo
mawasiliano:
kawaida : 0765 494 548
wasap...
1. Shamba la miti ya cypress lipo;
Mkoa: Geita
Wilaya: Geita
Kata: Bukondo
Kijiji: Lulama
Ukubwa: hekari 4 yenye miti ya miaka mitano
Bei:Tsh. 18,000,000/=
Eneo lote la shamba linafaa pia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.