Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC. PLOT DETAILS Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached) Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
A. Viwanja vimepimwa vipo Kibaha Visiga 3 kilometers kutoka Morogoro road. UMEME na MAJI vipo Barabara inayopotika bila tatizo hadi kwenye viwanja Bei ni 3 million kwa kiwanja cha sqm 400...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vipo chanika mvuti manispaa ya ilala dar es salaam:+255 6 28 00 82 18 Kwa tshg million 1,000,000/= Ukubwa wa eneo mita 15 kwa 15 Wahi mteja vimebaki vichache sana kwa mhitaji piga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Kiwanja kipo Buhongwa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya lami Mwanza-Shinyanga. Kiwanja kimeshapimwa na ukubwa wa kiwanja ni 20m*27m. Huduma zote za kijamii kama maji, umeme zipo pembezoni mwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamiiforums? Nauza kiwanja Safari City Arusha, Kiwanja kina square meters 396 kila square meters moja ni =35,000 35,000×396=13,860,000 Kiwanja kimepimwa kulingana na mipango...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wana jf nina kiwanja bei yake ni mil 7 ila bei inashuka unaongea una kiasi gani nina shida nauza hiki kiwanja ni changu mwenyewe Kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali Kiwanja kipo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
MAWASILIANO YANGU 0745298903 AU 0693084522 Bei yake 8,000,000 (maongezi yapo kidogo) Ukubwa SQM 678 sawa na Mita 23 Kwa 30 Eneo lipo sehemu nzuri na iliyopangika sawa na ramani inavyoeleza...
0 Reactions
114 Replies
11K Views
Tunauza viwanja vya makazi vyenye miundombinu yote muhimu ya kijamii umeme maji barabara viwanja vina ukubwa wa feet 40×50 viwanja vipo Kisemvule mbele kidogo baada ya mbagala rangi 3. Vipo vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeshauza tayari
1 Reactions
22 Replies
3K Views
-Eneo linapatikana mbezi mwisho stand karibu na soko la mbezi -Eneo ni kubwa limekatwa viwanja vidogo vidogo 5 vyenye sqm 400 ( 20 kwa 20) na vyote vina hati -eneo haliko bondeni liko sehemu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna eneo linauzwa ambalo liko na kibanda chake, maeneo ya Mbutu kigamboni. Unaeza hcho kibanda ukakiendeleza kwa makazi au unaeza kuamua kufanya ufugaji pia au unavyopenda mwenyewe. •Ukubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBAGALA ENEO - CHAMANZI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
-Kiwanja kipo Kimara Temboni kwa Abas umbali wa km 2 kutoka Morogoro road -Kina ukubwa wa sqm 700 -Barabara zinapitika vizuri -Huduma za maji na umeme zipo -Mazingira jirani(neighborhood) ni...
0 Reactions
11 Replies
836 Views
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu: Viwanja vyenye ukubwa tofauti vipo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga mjini km4 kutoka stend mpya Urefu 27m Upana 22m kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji ili viwanja vipimwe na kupewa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza kiwanja Kigamboni mtaa kigogo Kisarawetu jirani na Kibada stend Ukubwa wa eneo upana mita 17 Na urefu mita 40 Bei million 8 na Laki 5
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Eneo la ukubwa wa ekari 10 Kibaha kwa Mathias Msangani Km sita toka Morogoro Road. Limepimwa. Kila eka moja milioni sita. Zuri kwa makazi, kilimo, ufugaji, kujenga shule n.k. Mawasiliano...
2 Reactions
1 Replies
942 Views
Back
Top Bottom