Ninauza kiwanja changu kipo Mapinga, umbali wa km 3.5 kutoka Mbweni mwisho na 2.5km kutoka kambi ya jeshi la anga. ukubwa ni sqm 617. Eneo limekuwa surveyed na nina document halali za umiliki...
Kiwanja kipo sehemu nzuri Kibaha - Kiluvya huduma zote zipo
Maji, umeme bei ni 4,800,000/= maelewano yapo kwa ukubwa 20/20 mawasiliano zaidi 0717610089
Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo
Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo
Limezunguushiwa fence ya seng'enge
Bei 35milion(maongezi yapo)
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule.
-Ni sehemu nzuri...
Habari!!
Kiwanja kinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya cha kigamboni kimebaki kimoja
mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000)
kutoka ferr mpk kona ya chuo ni km 22...
Habari ndugu, nauza kiwanja kipo maeneo ya mji mpya kimara B dar es salaam maarufu "kwa senga"
Kiwanja hakiko square hivyo urefu na upana hauko sawa . Kwa urefu upande mmoja ni 63ft na mwingine ni...
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa ekali 350.
lipo mkoa wa Njombe tarafa ya Lupembe Kijiji Cha lwanzali namiundombinu kama maji yapo yakutosha na linafaa kwa kilimo chochote like.kwa mawasiliano...
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)
Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)
Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA...
VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA!
MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI NDANI YA VIKINDU, WILAYA YA MKURANGA, MKOA WA PWANI.
UMBALI NI KILOMITA MBILI ( 2 ) KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI...
VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA!
MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI NDANI YA VIKINDU, WILAYA YA MKURANGA, MKOA WA PWANI.
UMBALI NI KILOMITA MBILI ( 2 ) KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI...
Maelezo:
Kiwanja kipo Kitunda, Magole.
Wastani wa km 6 kutoka stand ya Banana/Nyerere Road
Kiwanja ni tambarare
Huduma ya maji, Umeme, na Barabara vyote vipo
Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 750 ( 30*25)...
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela...
Kiwanja kinauzwa haraka Singida kipo maeneo ya uwanja wa ndege. Ni flat hakihitaji levelling. Bei rahisi 4m tu. Vile vile, kuna viwanja vya size mbalimbali vinauzwa eneo la Mwaja, SIngida. Kwa...
Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya
1. Madale - 28,000/= kwa sqm
2. Bunju - 20,000/= kwa sqm
3. Vikawe - 8000/= kwa sqm
4. Mwasonga -...
HABARI NJEMA
NAUZA VIWANJA SQURE METER MOJA TSHS 19500/= MAENEO YA MPIGI MAGOE MBEZI KM 7 MPAKA STAND YA MAGUFULI UMEME NA MAJI YA DAWASCO YAPO.UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA..(DALALI ANAKARIBISHWA 10%)...
HABARI NJEMA
NAUZA VIWANJA SQURE METER MOJA TSHS 19500/= MAENEO YA MPIGI MAGOE MBEZI KM 7 MPAKA STAND YA MAGUFULI UMEME NA MAJI YA DAWASCO YAPO. UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA (DALALI ANAKARIBISHWA 10%)...
Clean title deed
150 acres
400 millions TSH
Well developed area
7 kilometres from Morogoro Town
Few minutes from Morogoro Dodoma road
Ideal for Agriculture or any investment...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa jijini mbeya. Maeneo ya Isyesye na Iwambi Maeneo ya karibu kabisa na City Center.
Viwanja vipo vya matumizi mbalimbali kama vile makazi, makazi biashara, na biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.