Mahali:Dakawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma
Ukubwa wa shamba ni heka 20
Shamba lipo pembezoni mwa mto Wami ambao unatiririsha maji mwaka mzima,hivyo linakupa option ya kulima mwaka...
Hati ya kiwanja ipo
Huduma muhimu za kijamii zipo; maji ya Dawasco, umeme, huduma za afya, maduka, shule havipo mbali.
Eneo ni tambarare halituami maji kipindi cha mvua
Eneo hili linafaa...
Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm.
Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Vimepimwa na kina hati.
Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni )
Wasiliana nasi - 0742141467
Eneo linauzwa na Mmiliki halali hakuna mgogoro wala changamoto yeyote.
Details za kiwanja
Plot No piga simu 0718436694
Block H
Chidachi west
Ukubwa sqm 600
Bei n Tsh Million 1 4,500,000/=...
Viwanja vipo goba tegeta A, karibu na kwa madawa.
Ukubwa ni 20/22m na kingine ni 30/20 vyote ni sh 13m lakini maongezi pia yapo.
Barabara inafika mpaka hapo, ujirani ni mzuri na mahitaji yote...
Beautiful plot Goba TegetaA near Kazimoto street. 35/30 Price 13m. Everything available water, electricity. Viko kwenye mchakato wa kupimwa. 0767507487
Njia safi mpaka kwenye uwanja.
Viwanja ni vikubwa 20*20
Bei kuanzia milion 1
Unapata kiwanja safi kabisaa
0715035758/0689244658
Karibu tukuhudumie
Mahali viwanja vilipo kuna usafiri wa bajaji 500 tu kutoka barabara ya lami.
Viwanja vimepimwa na mradi wa kurasimisha ardhi eneo la viwanja lipo kisongo matevez -Arusha
Ukubwa wa viwanja unaanzia 20×20 na 20×27 na kuenedelea kulingana na mahitaji ya mteja .BIE YA OFA NI...
Shamba linauzwa ni beach plot liko tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko).
Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka...
Pata viwanja kwa bei nafuu eneo la Kibaha madafu na mbezi mzalendo njia ya malamba.
Eneo lenye urefu wa 56 meter kwa 43 na mapana ya meter 19 umbali wa dakika 20 kwa miguu toka morogoro road. Kwa...
Mji mpya umeanzishwa ,mkabala na halmashauri mpya ya Kibaha ( Mlandizi),Nyuma ya kiwanda cha Kiluwa Steel.
viwanja vipo kilomita 1.9 toka Morogoro road.
Kiwanja Cha sqm 1,200 (mita 40 kwa mita...
Habari wana JF,
Nina kiwanja changu nakiuza 4mil kipo Kigamboni kimbiji golani eneo la kidagaa kina hati toka ardhi 600sq ni km 35 kutoka Kigamboni Ferry ..
Kwa mawasiliano zaidi piga 0657940974
Property international limited
Inajihusisha na uuzaji wa viwanja vilolivyopimwa na Barbara ndan ya miradi yetu...
Miradi hiyo ipo
Kigambon
Mlandizi
Bagamoyo
Mwenye uhitaji,
Contact:0652066570...
Habari za muda huu ladies and gentlemen?
nauza kiwanja Bunju A Dar es salaam.
size ya kiwanja ni 30*30 hatua za miguu.
bei ni 7mil net.
karibu Kwa mazungumzo 0713096076
Wadau karibuni Kisemvule Mkuranga mujipatie viwanja ukubwa 50 /40 umbali kutok barabara ya kusini ni 3km,2km bei!! ni 1.5.ml 1.8ml karibun ukileta mteja unapata asilimia 10 unalipa kwa awamu zaidi...
Nauza kiwanja kinachopatikana Itezi Mbeya.
SIFA ZA KIWANJA
1. Kimepimwa na hati ipo.
2. Umeme hauhitaji nguzo au nguzo moja ukihitaji.
3. Nimeweka msingi wa mawe wa nyumba (Trip 9).
4. Mashimo...
Shamba linauzwa, Kibaha Mlandizi Miswe ukubwa eka 55.
Chanzo cha maji huakika, kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji.
Linafaa kwa kilimo cha mazao mengi, ulimaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.