Habari wakuu,
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Bunju A Magurumawe, kimepimwa, eneo liko sehemu nzuri (kuna majirani) na sio bondeni, maji na umeme viko karibu, barabara inapitika vizuri!
Ukubwa wake...
Kiwanja kipo karibu na barabara
Location:
Street: Yange yange
Ward: Msongola
Destrict: Ilala
Region: Dar es salaam
12 km from banana (gongo la mboto)
1.5 km from kivule (frem kumi)
7.5 km...
TUNAUZA KIWANJA GOBA KULANGWA
Kipo Umbali Kilomita 1.5 Kutokea Barabara ya Lami ya Goba/Madale Jirani na Shule ya Msingi " Future Kings "
Kina Sqm 500 ( Mita 25 Kwa Mita 20 )
Kiwanja Kimepimwa (...
VIWANJA VYA MAKAZI MAPINGA KIMERE
Viwanja vya makazi vinauzwa Mapinga KIMERE
Viwanja vipo Mtaa wa Kimere ni Km 5 kutoka Bunju( Km 3 tu kutoka Mainroad Bagamoyo)
Vipo viwanja vinane(8)
Vipo...
Nyumba Ipo Goba Marobo, Umbali wa 3Km kutoka Goba Senta.
Nyumba ina Vyumba 4, Uwanja unaukubwa wa 400Sqm.
Umiliki; hati ya Ununuzi ya Serikali ya Mtaa.
Bei Tshs 17 Milioni
Our Contact ...
ARC Land Property ni wauzaji wa viwanja vya aina zote vya mkazi na biashara (hotel site, beach plot, nk) viwanja vinapatikana
KIGAMBONI
*VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA RAMANI ZIMETHIBITISHWA(BLUE...
Viwanja vinauzwa goba maeneo ya lastanza upande wa kushoto kutokea masana vimepimwa na hati kila kimmoja kina square meters 1800 vilikuwa 6 now vimebaki 3 karibuni sana mwenye eneo anaishi hapo...
Eneo: Mkokozi
Wilaya: Mkuranga
Bei: Square Meter 1 - 12,000
Viwanja vipo mpakani kati ya Kigamboni na Mkuranga.....Kutoka daraja la kigamboni ni km 17 tu.
Viwanja vimepimwa yaani ukinunua moja...
Kipo Mwanza maeneo ya National mkabala na barabara inayokwenda Buswelu square meters 583 kimeshapimwa na hati miliki..Bei mil 19 haipungui na hakuna gharama za Dalali
Kwa aliye serious nipigie...
kama nilivyotanguliza hapo juu nauza viwanja maeneo ya vikindu njia panda viwanja vipo karibu na barabara kuu ya kwenda mkuranga bei kuanzia milioni moja na kuendelea napenda kwa yule anaetaka...
Kiwanja kina hati ya miaka 60. kipo 3Km kutoka morogoro road kuanzia njia ya kutoka TAMCO Mile moja kwenda bagamoyo kupitia vikawe.
Bei Milion 500
Maongezi yapo.
0659997074 (Whatsapp,sms and...
Nauza kiwanja mbezi mwisho. Kipo karibu na old morogoro road . Kina sqm 1280. kina hati miliki. Kipo eneo la biashara. Unaw eza kujenga soko na fremu na raman ipo kwa atakaeipenda. maji, umeme...
Mahali:kiluvya karibu na kwa Sumaye
Bei:Million 7
Size ya kiwanja:mita za mraba(sqm)
600
Kiwanja kinafikika vizuri barabara iko vizuri kimepimwa
Mawasiliano kwa wanaohitaji
Ur welcome
Eneo la Mapinga nieneo linalokuwa kwa kasi sana. Na hii ni kwasababu Mapinga ipo karibu sana na Mbuju B. Viwand vingi na mashule yanafunguliwa kila kukicha. Watu wengi wanapapenda kwasababu ni...
Eneo linauzwa lipo maeneo ya Tabata bima linatazamana na St.Mary's Teachers College.
Ukubwa ni sqf 8000, eneo lipo bararani kabisa .All relevants documents ziko available (sio ya urithi ni owner...
Salaam,
Mwenyewe anauhitaji wa haraka.
Location: kigamboni, Kibada.
Anauza kiwanja chenye ukubwa wa meter 20 kwa 20 (sqm 400).
Kiwanja kina nyumba yenye chumba kimoja Chenye choo ndani.
Kiwanja...
salaam,
shamba lenye ukubwa wa hekari 5, linauzwa, lipo kigamboni (kimbiji).
umbali kutoka ferry ni km 34
lipo ndani ya kijiji kinaitwa kwa moriss ( njia ya kwenda buyuni, unapita kambi ya...
salaam,
kiwanja kinauzwa, kipo kigamboni mara tu baada ya kuvuka daraja jipya, upande wa kulia (karibu na kanisa la roma (RC)
MAELEZO ya kiwanja
kina jumla ya sqm 746
kina offer tayari (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.