Viwanja havijapimwa vinapatikana Mkonze Dodoma mjini kilomita 10 kutoka mjini na ni kilomita 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni mita za mraba 600, bei ni milioni 1.6. Mawasiliano 0758 004 568...
Tunauza Kiwanja Chenye Ukubwa wa Sqm 300.
Kipo Goba Muungano, Umbali wa Kilomita 3 Kutoka Salasala.
Bei Tsh 6Milion.
Serious Buyer PM
Or amsumi360@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja kinauzwa maeneo ya dege Kigamboni chenye ukubwa wa mita 35*35.
Kipo maeneo ya dege Kigambon jiran na yale magorofa.
Hakipo mbali na barabara.
Hakijapimwa ila kiko kwenye maeneo ya makaz...
Uwanja unaupana wa mita40 urefu mita50 upo mbeya jiji iyunga umeme maji barabala vyote vipo kasolo hati2 !bei mil 25 simu 0766 85 71 20 au 0653 53 89 71
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello, We are Selling Surveyed plot located at MbeziBeach, about three hundred meters far from Bagamoyo Road to Site.
PlotSize 1600Sqm, Price Tsh.300M
Contant Us: amsumi360@gmail.com
Sent using...
Message…
kiwanja kinaukubwa wa 50×80m kinafaa kwa makazi ya watu na huduma za maji na umeme zinapatikana barabara nzuri ya kupitika hadi kwenye eneo
piga simu kwa maelezo zaidi
0679113190
Nauza viwanja viwili kwaajili ya makazi.
- Kimoja kina Ukubwa wa 33 x 20 na cha pili 30 x 30
- Vipo wilaya ya Hai (Bomang'ombe-Kwa wasomali) km 1 kutoka Barabara kuu ya Moshi - Arusha
-...
Kuna kiwanja maeneo ya kariakoo
Mtaa Magila nyumba namba 13.....karibu na mtaa msimbazi.....
Bei
1.2b maongezi yapo.....
Karibuni sana....
Piga namba
Hii kwa maelezo zaidi.....
0717767875.....
Kiwanja kipo km40 kutoka kigamboni.
Kina ukumbwa wa mita20 kwa mita20.Kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda Ufukweni (beach).
Panafaa sana kibiashara kama maduka,mgahawa nk.Umeme upo...
2.5 Acres, Beach/Sandy plot for sale at Buyuni- Kigamboni* .(45km from Feri kigamboni, and 500mtrs from the sea).Has clear Local documents! 1 acre for Tsh 12M.Cont; 0683715304
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu.
Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22.
Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach).
Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
GEOENGINEERS SURVEYORS LTD.
Tunatoa huduma zote za upimaji ikiwemo:
Ø #Upimaji wa viwanja vya makazi, viwanda, biashara n.k.
Ø #Upimaji wa barabara Highways, street roads n.k.
Ø #Uchoraji...
Eneo Linauzwa bagamoyo Kiromo size in sqm ni 1406 sqm bei tzs 8.5m eneo lina documents Salama.sio mbali na barabara kuu ndani kwa 11km kutokea barabara kuu ya kwenda bagamoyo.kwa mawasiliano zaidi...
Ofa bado inaendelea kama ifuatavyo.
1.Eneo:Michese
umbali toka city center:8 km.
Ukubwa wa kiwanja:hatua 32 urefu na hatua 34 upana.
Hati:Hati ya kijiji na halijapimwa ila Manispaa itapima soon...
Nauza viwanja viwili kwaajili ya makazi.
- Kimoja kina Ukubwa wa 33 x 20 na cha pili 33 x 30
- Kwa shilingi Milioni 6 kila kimoja.
- Vipo wilaya ya Hai (Bomang'ombe) km 1 kutoka Barabara kuu ya...
Habari!
Kiwanja chauzwa kipo Pugu Stesheni karibu na machinjioni. Pamejengeka, huduma za jamii zipo ikiwemo umeme. Ukubwa wake ni futi 67 kwa futi 58. Bei ni 4.8 milion . Kwa maswali karibuni...
Eneo lipo HIMO pale njia panda ya kuelekea moshi mjini na arusha, Eneo ni kubwa lina UREFU: Hatua 65 na UPANA: Hatua 45, kiwanja ni tambarare na kipo umbali wa takribani mita 150 kutokea njia kuu...
Tunauza Kiwanja Salasala Marobo.
- Direction: Kutoka Salasala Mwisho wa rami hadi kwenye Kiwanja ni Kilomita 2.
- Ukubwa wa uwanja ni 400sqm.
- Una leseni ya Serikali ya Mtaa
- Umeme Upo
- Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.