*Kiwanja Kizuri Ajabu*
Hallo.
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. Kwenye barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme. Kiwanja kina nguzo tatu za umeme kwenye kona zote tatu...
PureLife Tap Maji safi ni nini?
BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na...
nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 16 njia ya kwenda wilaya ya pangani kata ya kirare kijiji cha kirare shamba halijawahi kulimwa. main road bei maelewano. nitafute 0787913493
Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya...
Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..
Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei...
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA...
viwanja vinauzwa nyamagana kijiji cha luchelele karibu na dolphini lodge viko vitatu mita 16×30, vyote vipo sehemu moja vina hati. bei M6.5 kila kimoja, maelewano yapo simu 0753155934
Kiwanja Muungano Barabara ya Mwanza/Singida.
ukubwa - Miguu 28 kwa 25
umbali - 2.5 km toka Barabarani
Hakijapimwa ila wamehakiki
Bei-milioni 1.3
Kama uko interested niPM
Maahamba ktk sehemu maeneo ya Kibaha Misugusugu, bei milioni 7 kwa hekari moja maongezi yapo, Hekari Mia zinapatikana, karibuni wadau PM kwa maelezo zaidi Kama upo na interest
Shamba liko mvuti ni ekari saba ila zinazouzwa ni ekari nne tu
::mvuti dondwe linapakana na magereza ya dondwe kwa upande wa kaskazini na upande wa mashariki linapakana na shamba la kanari...
Jamani nina shida nauza eneo langu likiwa na nyumba ndogo yenye chumba cha kulala sebure na jiko ipo jirani na project ya standard gauge soga project bei ni 2,500,000 eneo kuna makazi ya watu...
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dege Kigamboni, eneo lipo jirani na mradi mkubwa wa ujenzi wa Dege Eco Village. Kiwanja kipo eneo zuri na kimezungukwa na miundombinu muhimu yote ikiwemo umeme...
Ninauza viwanja 2 vilivyoshikana jumla vina sqm 3614..
Kuna maji ya kisima
Dawasco
Na umeme wa 3 phase umefika
Kinafaa
Kwa makazi
Shule
Guest house/ lodge
Kanisa
Habari wadau,
Wakuu nauza kiwanja mbezi malamba mawili kina upana wa 20m kwa urefu wa 27 kipo eneo lilichangamka sana, ni umbali wa mita 300 kutoka barabara kubwa mpya ya lami ya kinyerezi mbezi...
Viwanja vipo Kigamboni Mbutu-Mkwajuni. Vimepimwa na vina mawe, Mnunuzi atamalizia kufwatilia Hati (Title Deed) kwa jina lake.
Vina ukubwa tofauti tofauti , umeme umefika na panafikika kiurahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.