Kiwanja Kimepimwa Kina hati.
Ukubwa wa Kiwanja ni 3500sqm ( ekari 1 Kasoro )
Kipo Kilomita 2 kutoka Salasala Mwisho wa rami.
Bei Tsh 40,000,000/- ( Maelewano yapo )
((( 0685917621 )))
Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha...
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu.
Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
Wakuu kama tangazo linavyojieleza hapo juu nina kiwanja changu nakisukuma kwa bei cheee kipo maeneo ya mbezi msumi kina ukubwa wa 20*23 hatua za miguu ... Njoo pm
Nauza shamba heka 1, lipo Boko Mnemela-Kibaha. Eneo lipo umbali wa 8km kutoka shirika la elimu kibaha na linafaa kwa ujenzi, ufugaji na kilimo. Halipo mbali sana na barabara inayounganisha Kibaha...
Nauza kiwanja kwa bei ya kutupwa milioni 6 kina ukubwa wa hatua za miguu 20 kwa 23 hakuna udalali mim ndo mmiliki wa icho kiwanja kipo mbezi msumi jirani na shule ya sekondari mbopo
Kiwanja kinauzwa kiko CHANIKA
ukubwa: 978 meter squares (Plot No. 142, kilichowekewa Tiki kulia)
kiko kabla hujafika CHANIKA MWISHO kimepimwa na ukikinunua tunakuprocessia na hati.
Katika picha...
Vimepimwa na hati zake kamili na malipo ya kodi zote,square meter 600 kila kiwanja.Ni pale lile eneo maarufu kama makazi ya wastaafu.
Sababu ya kuuza,shida na hela ya kuendeleza project zangu.bei...
Wadau habarini!
Nina kiwanja kimepimwa kipo Dodoma eneo linaitwa Swaswa mbele kidogo ya makazi ya Waziri Mkuu na jirani kabisa na inakopita barabara ya kuelekea Airport tarajiwa ya Msalato...
Ndugu mpendwa,
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu,
ENEO la ziwani hekari 20 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,
SIFA ZA...
Wasalaam
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa ,kiko NYEBURU Mita 800 kutoka barabara kuu ya lami kituo cha Italian (ukielekea Chanika upande wa kulia)
SIFA ZAKE;kimepimwa kwa uzito wa chin LOW DENSITY...
Ndg Eneo Linauzwa Lipo Kinyerezi Kifuru Mtaa wa Hali ya Hewa
Ukubwa wa Eneo 35*25
Lina Hati Miliki na Pia lina nyumba amabayo aijamalizika
Eneo halina Mgogoro
Bei Milion 17
Mawasiliano...
Kwa Mahitaji ya viwanja nicheki
Nina kiwanja kipo kinyerezi king'azi bei milioni 3 ukubwa 20×20
Pia mbezi makabe 20×20 bei milioni 6
Kingine kibamba Kiluvya milioni 3.5 ukubwa 20×20
Nicheki...
Viwanja viwili tajwa hapa chini vinauzwa, vyote vina hati miliki vipo karibu na mizani ya zaman ya kibaha for serious buyers pm for price
Title 45916 kibaha area sqm...
kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa 1734 sqm kipo chanika (ukipanda basi la chanika unashuka kituo kinaitwa Kwa Sadala) kina hati ya umiliki na hakina mgogoro, kiko 300m au pungufu kutoka barabara kuu...
Nauza kiwanja 20×20 kipo Kiluvya kilomita 1 kutoka lami kuu karibu na zahanati ya Kiluvya na shule ya sekondari bei yake milioni 3.5 mazungumzo yapo
Mawasilian
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 kwa 25 ,kinauzwa , Kiwanja kipo kibamba . Kinaumbari
Wa m500 ,kutoka morogoro load , katembea kwa miguu mpaka kilipo ni dk 20 /30. gari inafika bila shida. Umeme...
Wanabodi amani iwe kwenu. Kuna eneo ( Plot) zuri sana liauzwa. Lipo mji wa Kibaigwa Dodoma.
1. Lina ukubwa wa heka 7
2. Lipo pembezoni mwa barabara ya Dodoma-Dar
3. Limepimwa na lina hati miliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.