Ukubwa: square meter 1500 (30m x 50m)
Kimepimwa na kina hati ni mali yangu hakuna udalali
Mahali: Kigamboni Cheka karibu na apartments za Sophia simba, ni 29km kutoka Feri
Bei ni Tsh 18,000,0000
Kipo pwani.mlandizi.ukubwa wa 20 kwa 20 .na cha ukubwa wa 30 kwa 20.bei milioni mbili na nusu kwa milioni tatu.umbali toka barabarani km 2.
Nipo mlandizi msufini karibia na sheli...
Kwa wanaohitaji viwanja vya makazi vilivyopimwa..ndani ya eneo lenye huduma na makazi tayari.
Eneo linafikika..mtaa unaitwa Leperanya/kwa pius.. Mita 300kutoka kituo cha daladala/soko...
Kiwanja maeneo ya Bunju Mwisho- Kijiweni Bondeni
Kipo eneo zuri tambarare urefu hatua 65 upana hatua 40
Km 4 kamili kutoka barabara ya Bagamoyo
Barabara ya kueleweka ipo tayari
Maji tayari yapo...
Habari wakuu,
Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 (zingatia hapa nimevipima mimi mwenyewe na havina hati)
vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea...
Habari za asubuhi,
Eneo Heka 2 linauzwa, imejengwa nyumba ambayo yenye vyumba viwili vya kulala na sebule pamoja na bafu ndani (haijaezekwa).
Mahali: Kikongo - km 9 kutoka Mlandizi stand ukiwa...
Habari zenu umundani,tunauza Viwanja maeneo ya Mbagala dar es salaam Kata ya chamazi,mbande mipeko kwa Shilingi milioni mbili na nusu(2.5) tu. Na kwa hekari moja ni Shilingi milioni18 tu. Unaweza...
Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali...
Nauza kiwanja kwa bei nafuu sana
kipo maeneo ya chanika standi daresalaam kina urefu wa nusu hekari. Hakina mgogoro, kina hati miliki zote kipo mjini kabsa namba zangu 0712268339
Karibu...
Nina viwanja 4 vyote vimepimwa kama Ramani inavyo onyesha katika picha
Baadhi ya viwanja vina mabanda na kingine kina banda na kisima hivyo ni wewe kuchagua Hata ukitaka kimoja njoo uchukue na bei...
Habarini wadau, kuna eneo ambalo ni zuri kwa makazi maeneo ya dege kigamboni. Ni ukubwa wa mita 25 kwa 25. Bei ni milion tatu. Mwenye uhitaji serious anichek 0764503076. Umeme na maji yapo maeneo...
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.