Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Viwaja vinauzwa kibamba,mbezi,chanika kibaha,mbagara,tabata,bunju, bei kuanzia laki nane hatua 25 kwa 25 mawasiliano 0717342414/0764816096/0788492588 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza kiwanja changu maeneo ya Kigamboni Malimbika. Eneo Nizuri sana kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni heka 1 Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani bei yake ni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Viwanja vinauzwa maeneo ya Kihalaka Mapinga. Eneo Nizuri sana kilometa 5 kutoka barabara ya lami. Ukubwa vyote ni sqm 4100 kuna banda la mita 30x 10, vyumba ya vyumba 3, store, jiko la nje, kisima...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza viwanja 4 vimepimwa vipo Mapinga eneo la kiharaka kimoja kina nyumba ya vyumba 3 kuna umeme wa Tanesco na kuna kisima kimechimbwa.Nyumba ya pili ina vyumba vi nne vya kupangisha. Kama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja maeneo ya Bunju- Mingoi. Kipo eneo zuri tambarare. urefu hatua 65 upana hatua 40. kipo km 4 kutoka barabara ya Bagamoyo umeme haupo mbali. Bei ni milioni kumi na mbili. 7,000,000/= maelezo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama ww bado hujapata kiwanja kwaajili ya kuandaa makaz yako hii siyo ya kukosa, Jipatie sasa kiwanja ndan ya jiji la dar Kwa bei ya sawa na bure,, Ni chatembo mwandege nyuma ya kiwanda cha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kiwanja cha makazi na biashara kinauzwa.kipo dodoma kisasa B center.kina mita za mraba 846.kina hati.na kibali cha ujenzi.tayari kina msingi mkubwa wa mawe tupu.Ni eneo hot cake kwa wanaojua...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
kiwanja kinauzwa Arusha ni ekari 2 Bei ni milioni25/kwa eka 1nipigie upate updates 0754320077
0 Reactions
3 Replies
721 Views
Kuna kiwanja kinauzwa ukubwa ni30/30 mil tano tu kipo chuo kikuu cha Arusha Karibu maelewano yapo
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Viwanja vinauzwa viko lindi manispaa maeneo ya mnazi mmoja umeme na maji vinapatikana bei ni million 3 kwa vyote viwili Kama uko tayari piga 0716506630
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Kiwanja 20X20 kipo mivumoni kwa Makamba bei maelewano. Contact 0768532015
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Mahali ni dsm kilwa road mwandenge,nyuma ya kiwanda cha bakhresa( chatembo) Ukubwa ni ft 50×50, Umeme,maji na barabara vinapatikana . Bei ni tsh 2,000,000/= Mawasiliano; 0714 77 55 66 0683 77...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Back
Top Bottom